Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂nimewah panda na waha nilijuta bora usafiri na msukuma🖑🖐Wakuu, kuna watu wanagombana hapa!
Behewa limevurugwa na wehu flani.
sijamaanisha nipo zambia...ila nimelipanda sana hilo.la zambia.. ila km unaenda feb sio vby tukaongozana😛😛..mie mzalendo bwana nipo nchini ..
Umeshifika Zambia kabla, una uzoefu wa hii nchi.
Pole sana kwa kutoa namba kijitonyama kwenye ukuta wa kutokea upanga ubalozi wa Kenya mpaka kanisa la watakatifu litakuhusuWakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
umefika wapNini hiki!
😂😂😂😂😂😂Nasikia wanasema ni Kaliua! Nikifika unipokee mkuu.
Pole sana kwa kutoa namba kijitonyama kwenye ukuta wa kutokea upanga ubalozi wa Kenya mpaka kanisa la watakatifu litakuhusu
Tumeshaingia ndani ya mkoa wa tabora, ila ndiyo kwanza wanasema tuko huku Kaliua.Msimtishe kijana hajafanya kosa lolote, anatafuta maisha. Kama unaweza kumsaidia msaidie, kama huwezi, huwezi. Ila anaweza kuwa mjasiliarima mzuri mkubwa huko mbeleni, bila msaada wa yoyote hapa.
kuwa makini mjin hapo wataku khonkNasikia wanasema ni Kaliua! Nikifika unipokee mkuu.
Sawa mkuu, tahadhari imeshatolewa tangia tukiwa Nguruka. Kwahiyo hakuna tatizo.