Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Wee jamaa wewe sasa huko Dar bila hela unadhani maisha yatakuwa mazuri? Kama umeshindwa kutafuta fursa ukiwa kigoma utaweza Dar? Kwenye msongamano wa watu?
Wewe nenda ila Muombe Mungu Akusaidie.
Sawa kaka.
 
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Pole sana kwa kutoa namba kijitonyama kwenye ukuta wa kutokea upanga ubalozi wa Kenya mpaka kanisa la watakatifu litakuhusu
 
Pole sana kwa kutoa namba kijitonyama kwenye ukuta wa kutokea upanga ubalozi wa Kenya mpaka kanisa la watakatifu litakuhusu

Msimtishe kijana hajafanya kosa lolote, anatafuta maisha. Kama unaweza kumsaidia msaidie, kama huwezi, huwezi. Ila anaweza kuwa mjasiliarima mzuri mkubwa huko mbeleni, bila msaada wa yoyote kwenye hili jukwaa,

Jiamini tu, Pambana.
 
Msimtishe kijana hajafanya kosa lolote, anatafuta maisha. Kama unaweza kumsaidia msaidie, kama huwezi, huwezi. Ila anaweza kuwa mjasiliarima mzuri mkubwa huko mbeleni, bila msaada wa yoyote hapa.
Tumeshaingia ndani ya mkoa wa tabora, ila ndiyo kwanza wanasema tuko huku Kaliua.
 
Back
Top Bottom