ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Sawa tuko tunakufwatiiia buffet wamefunga ningekuita
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tuko tunakufwatiiia buffet wamefunga ningekuita
Huyu mpuuzi anakuset amepanda dodoma mpuuze kuwa makini wanakutrak wamekuona ni assezasset kwao
Umekunywa pombe gani mkuu?Kuna jamaa ananidokeza mikoa ya pwani inatumia gari za polisi zenye plate number za zanzibar nyekundu na wanyarwa......... wanaletwa kimyakimya uko behewa la 13
Huku kwetu tuna majina ya hiyo kitu. Shangazi oyomba na Wabimanya maki. Meaning Oyomba ni zile kelele za ile mifuko. Wabimanya maki ni kuhusu msiba maana huna muda wa kuazima bag hivyo ukija na huo mfuko ndo hivyo umefahamishwa saa ngapi?Umepaki nguo zako kwenye shangazi kaja?
Yalishapigwa marufuku huku dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ambao sio wapinzani naona mmekuwa sawa na mm mpinzani. Maana hata msaada hamtoi kabisa. Dogo atoa taarifa kama yupo onway to Dar mnajifanya hamjaona taarifa. MsaidieniHalafu ww mwalimu mbona una roho kubwaaaa,shida iko wapi akiitaja elimu yake ww nn kikuwashacho?????
Unazingua coz unakuwa mpinzani sana kwa huyu dogo wkt hata msaada huna.Shutup bhana muache dogo apambane kivyake na sio kujifanya unajua saaaaana ukatufanya na sie wengine tuanze kutembea bampa to bampa na ww.
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga moyo konde dogo maisha popote halafu riziki yako iko miguuni kwako achana na hayo maneno ya wanaokutisha mara ooooooh sijui dsm pana miiba,mara sijui pako hivi kwahiyo wanataka kutufanya tuwaone wao ma sterring sana kumudu kuishi dsm???wkt ni sehemu ya kawaida tu coz yawezekana dar pana maisha mepesi kuliko hata huku kwetu
Dogo ninachoweza kukuusia tu ni kuwa uaminifu waweza kuwa mtaji wako wa kukutoa kimaisha,zaidi uwe na Juhudi,Nidhamu na utuhuruma kwa wengine hakika hivyo vitakutoa ktk maisha yako.
Zaidi zaidi Mungu akuongoze,akulinde na akutilie wepesi ktk utafutaji wako ila kumbuka kuuambia moyo wako kuwa
"MOYO TULIA MJINI KUNA VYA WATU"
Hapa namaanisha tamaa na mali za watu itupe hapo dirishani baada ya kusoma msg hii.EPUKA TAMAA KWA VITU VISIVYO VYAKO.
All the best.
Sent using Jamii Forums mobile app
Coz anatafuta Kazi ya elimu yake!Mbona kila kitu unasisitiza elimu yako ni darasa la 7.
Inferior complexity
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda basi ukatusue unasubiri nini? Mwache dogo aingie Bongo acheze karata zake.[emoji23][emoji23] mie ningekuwa naishi huko kigoma ningetusua mapema sana
.ntaenda!Nenda basi ukatusue unasubiri nini? Mwache dogo aingie Bongo acheze karata zake.