Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Siwezi mwaamsha waliolala mzee baba, we mwenyewe umetukana kihenga.πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Huu ni uchonganishi kama sio uchochezi chief....
Ebu ngoja nikalete hizo nukuu ili tuzisome wote kwa pamoja
 
Aisee, uza simu ufanye mtaji mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…