Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la kheri.Wazoefu wa huu usafiri wanasema tutafika Dar kesho!
Wacha nami nijifanye muhenga.Wahenga tumekuelewa sana aiseeee....tehteehh [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Toba....[emoji53] [emoji53]Wacha nami nijifanye muhenga.
Hakika umemtukana.
Hugo mfanyakazi wa dom.Toba....[emoji53] [emoji53]
Nimemtukana nani tena...!!??[emoji45] [emoji45]
Nimemtukana aje kwani...!!??Hugo mfanyakazi wa dom.
Sawa bana Mpuuzi, wafikishie wapuuzi wenzako salamu waambie kulikoni tupo miaka 57 ya uhuru, lakini ukisafiri kutoka mwisho wa reli(Kigoma ujiji) kwenda Pwani/Dar es Salaam unachukua siku 3?Naongelea reli ya mkoloni, usiniletee upuuzi wako hapa.
Siwezi mwaamsha waliolala mzee baba, we mwenyewe umetukana kihenga.😉😉😉Nimemtukana aje kwani...!!??
Huu ni uchonganishi kama sio uchochezi chief....Siwezi mwaamsha waliolala mzee baba, we mwenyewe umetukana kihenga.😉😉😉
Angalia wasiamke uje ukinyata kiongozi.Huu ni uchonganishi kama sio uchochezi chief....
Ebu ngoja nikalete hizo nukuu ili tuzisome wote kwa pamoja
Dahhhhh.....Angalia wasiamke uje ukinyata kiongozi.
Kama pamepoa tia chumvi kidogo au wekambilimbiHapa Itigi Singida ni kubaya kwa kweli, Pamepoa mnoooo! Nyumba zenyewe hata hazieleweki.
Usijali ni kasi ya mwaka mpya na furaha ya kuuona. Au we hufurahii hilo?.Dahhhhh.....
Leo umenitweza sana mkuu[emoji29] [emoji29]
Aisee, uza simu ufanye mtaji mkuuWakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Mwambie tu,kazi isiyohitaji elimu kubwa ni kama alivyofanya amber lMbona kila kitu unasisitiza elimu yako ni darasa la 7.
Inferior complexity
Sent using Jamii Forums mobile app