Siyo utani Mutama utakua na mwenyeji muzuri maana yeye hapa mujini tunamuita Brother KUtani huu!
Oky, lakini kwa siku tatu unazokuwa njiani unatumia tsh ngapi kula na kunywa?Basi ni Elfu 60 mkuu, bado hujala hapo.
Ila treni ni Elfu 27,600 tu.
Vipi wewe umekula? Au mpaka upate maisha kwanza?Wanapitisha hapa nje, wachache sana ndio wanakuja ndani, ila ni wachache sana!
Ndugu zako hutoka kwenu kwenda kutibiwa Itigi hospital ya RCHapa Itigi Singida ni kubaya kwa kweli, Pamepoa mnoooo! Nyumba zenyewe hata hazieleweki.
Hivi unanijua mimi vizuri. Nina phD mbili moja ni ya john hopkins university of applied science nenda pale uulizie kweny physics laboratory "the Tanzanian"Staili ya uandishi wa candidate tu, unatosha kusadifu yaliyomo.
Au ni wewe mkuu, ila umebadili tu ID ?[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahhaAnataka magorofani ndiyo akatafutie maisha huko[emoji23][emoji23][emoji23]. Ila mkuu jua amekimbia jembe huko kigoma sasa akishuka Itigi atafanya nini
Hahah mbona umekuwa mkali dakika za mwishoUkutane na nani sina shida ya kuona itel mm dukani si zipo nikitaka taenda nunua
Mpokee kamanda anakuja kufanya mapinduziKila mtu apambane na hali yake
Mbona alitujulisha alipoanza safari kwa treni.
Haiwezi kufika elfu 40,000/=.Oky, lakini kwa siku tatu unazokuwa njiani unatumia tsh ngapi kula na kunywa?
Dah...karibu Dar...Kuna viwanja vikaliii...njoo tule maisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.