Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Eti unatumia itel ya button kuingia unatumia opera min.....asee usitulishe tango pori ujue duuh
Basi mkuu kesho tukutane na nikuonyeshe Simu yangu.
 
Wakazi wa Halmashauri Changa ya Itigi wanafuraha na amani ya maisha.

Suala la kutokuwepo kwa nyumba za kisasa pamoja na maghorofa kusikufanye ukafikiri wakazi wa mahali hapo hawana maisha.

Halmashauri ya itigi inashika nafasi ya kwanza kielimu katika mkoa wa singida.

Ina rasilimali za kutosha, hifadhi za wanyama, misitu pamoja na mzunguko wa pesa mzuri.

NB: Ni suala la muda mchache, nasisitiza ni miaka michache Itigi pataweza kuchuana kimaendeleo na wilaya kongwe kama Manyoni.

Ikumbukwe Halmashauri ya Wilaya ya Itigi inamiaka mitatu toka ianzishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Staili ya uandishi wa candidate tu, unatosha kusadifu yaliyomo.

Au ni wewe mkuu, ila umebadili tu ID ?[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unanijua mimi vizuri. Nina phD mbili moja ni ya john hopkins university of applied science nenda pale uulizie kweny physics laboratory "the Tanzanian"

Nyingine ni ya aerospace engineering stanford university.

Nina degrew ya mlimani pia

Siksi Ilboru with straight As
 
Anataka magorofani ndiyo akatafutie maisha huko[emoji23][emoji23][emoji23]. Ila mkuu jua amekimbia jembe huko kigoma sasa akishuka Itigi atafanya nini
Hahahha
You never know
Matajiri wengi walianzia huko
Halafu ukienda sehemu mgeni kuziona opportunities ni rahisi kuliko mzawa wa eneo husika
Angalia wafanyabiashara wengi wakubwa ni wa kuja
Na wqmekuja na idea zao

Kuna mzee miaka ya 70 alipeleka mawese mkoa fulani akakamatwa na kutuhumiwa anauza damu ya watu, hapo ujue wenyeji walikuwa hawajahi kuona mawese
Strange but true

Sent from my SM using Tapatalk
 
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Dah...karibu Dar...Kuna viwanja vikaliii...njoo tule maisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom