Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Haya ukifika dam na cheti chako nitafute pm. Utapata kuna kazi ipo buguruni kimboka
Kaka, sina cheti, ila nimekuja na barua tokea serikali ya kijiji inayo nitambulisha. Nisaidie kaka nakuomba!
 
TRENI LIKPITA NITALIONA UKIFIKAKWENYE NGUZO ZA TRENI YA UMEME NYOOSHA MKONO NJE NIKUONE NIJE NIKUPE HI
 
TRENI LIKPITA NITALIONA UKIFIKAKWENYE NGUZO ZA TRENI YA UMEME NYOOSHA MKONO NJE NIKUONE NIJE NIKUPE HI
Hapo mimi sipajui mkuu! Nisaidie!
 
Kama vile napata moyo wa huruma hebu njoo pm
Nisaidieni wakuu, simu yenyewe inakaribia kuisha chaji, na tayari tumekaribia kufika.
 
Ukikosa kabisa pakufikia ukishuka tu stesheni ulizia hospital ya mnazimmoja ukapime malaria utapewa kitanda alafu anzia hapo.



Otherwise tuma picha yako ukiwa kwenye huousafiriwako treni, tena video kwa confirmation tutakusaidia chakufanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMA NIMEKUONA UMESHUKA SASA HIVI UMESHUKIA UPANDE GANI? MIMI NIKO KARIBU HAPA NIMELIONA WAKATI LINAINGIA SASAHIVI
 
Wakuu ile safari yangu nadhani leo itafika mwisho, Kwahiyo nisaidieni wakuu, Mnisaidie japo kazi ili nipate hela ya kula.
Dakika kadhaa nyuma ndiyo tumeondoka hapa stesheni ya Morogoro, Asanteni!
Vipi mkuu ushaingia Dar, enhe leta mrejesho hapa. Pole na safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kumuamini mleta mada, namkumbuka kijana ema baada ya siku 2 akatutukana humu ndani, baada ya miezi 2 akanitafuta akajidai amerogwa.

Huu mwandiko wa mleta mada siuamini kabisa.
 
Waha na urefu wapi na wapi? Warefu kawatafute wasukuma, masai au wajita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikoani tuna huruma kuliko uko ulikokimbilia, ungekuja hpa Mwakitoryo nikupe kazi kijana uko dar hapafai kwa mtu ambae hana Elimu kama ww, kila la kheri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…