Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CENTRAL???????
Hahaaha!Ukishuka pale stesheni vuka barabara utaona jengo jeupe nje kuna magari mengi ingia wambie mimi ni mpya hapa mjini naomba maelekezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Kimboka...!!Haya ukifika dam na cheti chako nitafute pm. Utapata kuna kazi ipo buguruni kimboka
Wazee wa zipu wazi hao wanavizia mgegedo poa malazi na chakula kwa muda mgegedo lila siku?
Vipi mkuu ushaingia Dar, enhe leta mrejesho hapa. Pole na safariWakuu ile safari yangu nadhani leo itafika mwisho, Kwahiyo nisaidieni wakuu, Mnisaidie japo kazi ili nipate hela ya kula.
Dakika kadhaa nyuma ndiyo tumeondoka hapa stesheni ya Morogoro, Asanteni!
Waha na urefu wapi na wapi? Warefu kawatafute wasukuma, masai au wajitaHAPANAAA UJAELEWA KWANN TUSI SIOKAZI MKUU AISEE UNATAKAAA KUUZA DUKAN AMA KUUZA GESI??PAMBANÀ NA UTALACHOANZA NACHO KILAMTU ALIANZA CHINI
KUHUSU UZITO SIJAKOSEA NIKO SERIOUS MTU ANAEHUDIMIWA N MREFU NA ANA KA UZITO KIDOGO SO SIPENDI UFIKE PALE UBAKIE MNAANGALIANA SURA ...UNAHITAJI KUWA NA NGUVU ZA HAJA
Kwamba wewe ni mbaya sana, au unatoa harufu kali kama mzoga wa kunguru?yaan ww ht nifungiwe na ww rum 1 utakesha..ht kunibaka huwez ww..