Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia itel ya batan hataweza kujipiga picha kuapload hapa. Ila binafs naamin jamaa ni mkweli na nashawishika kuamin ni mtu mwema.Picha hata ukiwa umebeba begi, sijui kwa nini wewe nimeshindwa kukuelewa na kuuelewa mwandiko wako toka mwanzo yaani kuna kitu hakiko sawa kabisa.
Zitake radhi itel, unamwamini mtu anayeweza kuingia JF kwa itel isiyo na camera...!!Anatumia itel ya batan hataweza kujipiga picha kuapload hapa. Ila binafs naamin jamaa ni mkweli na nashawishika kuamin ni mtu mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatumii smartphone. Anatumia simu ndogo ambayo hata nafasi za herufi ni 1260. hata kama ana mb kumi anaweza tumia siku mbiliHatukuamini kwa sababu una hell ya bando mda wote. Hivi hakuna akiyekushauri uuze smart phone yako then UANZE biashara ya kuchoma mahindi manzese? Hasa kipindi hichi Cha mvua mahindi yanatoka Sana. Pembeni weka na miavuli minne ikinyesha tuu unauza hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio namuamin. Sio kwamba sim yake haina camera hapana bali kuattach picha hum kwa sim ya batan na freebasics anayotumia n ngum.Zitake radhi itel, unamwamini mtu anayeweza kuingia JF kwa itel isiyo na camera...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna muda wa kupoteza na wehu.Watu wa Dar Mnashindwaje kujioganize vijana wa mjini watatu mpaka wa tano mkutane na huyu kijana muongee naye na kuridhika kama asemayo ni kweli?..kama mtaridhika atakayosema nipo tayari kumsaidia japo sipo Dar kama ni tapeli pia nitawasaidia jamaa zangu Osterbay pale watamfuata alipo akalale ndani miezi 2.
Nipo serious nitampa kazi au nitampa mahabusu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Watu wa Dar Mnashindwaje kujioganize vijana wa mjini watatu mpaka wa tano mkutane na huyu kijana muongee naye na kuridhika kama asemayo ni kweli?..kama mtaridhika atakayosema nipo tayari kumsaidia japo sipo Dar kama ni tapeli pia nitawasaidia jamaa zangu Osterbay pale watamfuata alipo akalale ndani miezi 2.
Nipo serious nitampa kazi au nitampa mahabusu.
Ok. Basi asubiiri turudi toka likizo mwache apambane na atuonyeshe tofauti ya wanaume wa dar na wa mikoaniHatumii smartphone. Anatumia simu ndogo ambayo hata nafasi za herufi ni 1260. hata kama ana mb kumi anaweza tumia siku mbili
Mwache ili tuone tofauti ya wanaume wa dar na mkoani.Kama anayosema ni kweli nipo tayari kumsaidia pesa kidogo sana ya kuendelea kujikimu na kama ni tapeli pia nitahakikisha atalala kituo chochote cha polisi kilicho karibu na yeye.
Nipo serious mtoa mada nitafute nikupe nilichokuahidi au mahabusu.
Kama anayosema ni kweli nipo tayari kumsaidia pesa kidogo sana ya kuendelea kujikimu na kama ni tapeli pia nitahakikisha atalala kituo chochote cha polisi kilicho karibu na yeye.
Nipo serious mtoa mada nitafute nikupe nilichokuahidi au mahabusu.
Hana lolote huyo mwenyeji sana hapo Dar kapima upepo. Katoka likizo kula bata huko KigomaUlidanganywa sana kuhusu Dar...bora ungebaki Kigoma hayo yote yasingekukuta. Karibu Mjini.
Hatuna muda wa kupoteza na wehu.
Baada ya kupigana hapa na pale humu JF nikiwaomba mnisaidie hata kibarua ili nipate hela ya kula nitakapofika Dar, Maombi yangu yanaonekana ni upuuzi!
Watu wananiita mimi ni Muongo, na wengine wakasema mimi ni Tapeli!
Treni kabla haijafika Dar, nikalia lia sana hapa JF nikiomba nisaidiwe nitakapo fika, lakini watu wanazidi kusisitiza "eti, mimi ni tapeli" Huku simu nayo imekaribia kuisha chaji, na treni ndiyo imeshafika Pugu.
Simu ikaisha chaji!
Na hapo niweshawafuata watu kadhaa PM hapa JF akiwemo manengelo na wengine wengi.
Wengine wananipigia simu, ila hawaongei, ambao walisema watanisaidia nikifika, wananiambia kwamba wako Safarini, kwahiyo hawataweza kunisaidia.
Mpaka hapo, nimebaki na elfu moja na mia nne tu.
Baada ya kukosa mtu wa kunipokea, nikaanza kuzurura hapa mjini. Nimezurura sana, na begi langu mgongoni huku nikitembea bize kama wenyeji wa mji wanavyo tembea. Naendelea hapo chini, maana hapa simu imefika mwisho wa kuandika, Kwahiyo naendelea hapo chini!