aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
- Thread starter
- #601
Huyo mwanaume wa Dar, akaenda dukani kununua mchele, huku ndani akaacha ameniwashia Tv.
Jamaaa kaleta pale mchele, akaniambia nichambue, nikawa nauchambua, huku yeye anapika samaki.
Hapo nimekaa kitandani, maana chumbani kwa jamaa hakuna sehemu ya kukaa tofauti na kitandani!
Mara jamaa akaja kitandani pia, Kha! Yaani hata aibu hana huyu mwanaume wa Dar! Ananipapasa, nikamwambia hebu acha, maana nimeshagundua huyu jamaa ni Punga. Akaacha kweli, mala anarudia vile vile! Kha, yaani jamaa anakuja kwangu anajilegeza kabisa kama mwanamke! Nikawa namwambia, hebu tulia, huku nikiuondoa mkono wake mwilini kwangu! Akaniuliza, au unataka ukaoge kwanza?
Nikamwambia ndiyo, (maana siku tatu zote toka kigoma mpaka hapa dar, sijaoga) Jamaa akachukua maji, akanipelekea bafuni na madoido mengine anafanya, ni kama vile sasa mimi ni mume wake, na yeye ni mke wangu, wakati sote ni wanaume! Jamaa akanipatia Taulo nikaenda bafuni. Nimeoga vizuri nikamaliza, nikarudi chumbani! Namkuta ndiyo anapika ule mchele!!
Inaendelea...