aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
- Thread starter
- #641
Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.Hata hamna neno mmoja ya shukrani kwa yule jamaa. Hata akiwa shoga, bado alikulisha chakula na sehemu ya kulala. Tena ametoa Sh 600, ya nauli kwenda Kariakoo! Umemalizia kusema "Na hapa nimeachana nae", na unamsubiri mtu mwingine. Shukrani mbona imekua adimu namna hii duniya hii????!
Kwahiyo swala la shukrani kutoliandika hapa, ni mambo kuwa mengi, ila huku jamaa mwenyewe anajua kuwa nime mshukuru sana.
Nadhani umenielewa kaka! Asante..