Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.
Kwahiyo swala la shukrani kutoliandika hapa, ni mambo kuwa mengi, ila huku jamaa mwenyewe anajua kuwa nime mshukuru sana.
Nadhani umenielewa kaka! Asante..
Wewe unajuaje kama sishoga? Umemuona? Acha umende aliyekuwa nae ndio kasema unani wewe ubishe utakuwa ni wewe ulitaka uzibuliwe mtaloSio povu we kilaza! Ndo maana hata moyo wa kusidia mtu umetoka siku hizi, kila mtu afe kivyake.
Unatoa msaada kwa mtu, then baadaye anakulamba kisogo, anakusema jinga hili.
Amesaidiwa, anakuja kutuambia yule ni shoga, mfano akawa si shoga inakuwaje? Nyoko wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
I think you have lost your mind, imbecile. Poor minded.Wewe unajuaje kama sishoga? Umemuona? Acha umende aliyekuwa nae ndio kasema unani wewe ubishe utakuwa ni wewe ulitaka uzibuliwe mtalo
Sent using Jamii Forums mobile app
mmh mmh mmhNgariba acha zako..huyu ni ndugu yako ..mkimbiz wa nchi yako..toa msaada wa hali na mali ww..mie km sumwamin sana..ila acha tuamin..
Sijui ana muscles aje nisaidia kukata fence[emoji87][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85]...unanishaurije[emoji23][emoji23][emoji23]!akiwa na umbo km avatar yako kwisha habari yake..tutamlea tu
[emoji4][emoji4]cc@demi
Louis, Msaidieni huyo jamaa, kumwambia karibu ndio inatosha kweli ??Ulidanganywa sana kuhusu Dar...bora ungebaki Kigoma hayo yote yasingekukuta. Karibu Mjini.
Mkuu, wewe umenielewa, asante!Uhalisia ya maisha ni kuwa wakati wa shida, msiba au dhihiki, ni yule mtu ambaye tunamdharau ndiye anajitokeza kutoa msaada kwa hali na mali! Wale ambao tulikuwa tunawaona kuwa hawana maana kwetu, ndiyo wanakuja kutuokoa! Wale tuliyowapenda wanapita kimya kimya au wanakuletea kejeli na dhihaka! Dunia simama nishuke!!"
Usiwaze dogo ntakupaNa mimi nitaleta stori yangu uje uniongeze bando
Sawa mbibi[emoji3][emoji3]Usiwaze dogo ntakupa
Wenye shida kama nani? Umekutana na mimi ukagundua sina shida? Mbona unakuwa mtu usiyejali lakini? Aaargh! Ok, Sawa, ngoja nipambane na hali yangu, maana mtu unamuelewesha, ila yeye hata haelewi. Hujaonana na mimi ila unakazia tu eti mimi muongo, ok mkuu nashukuru.
Ebu niache usinizeeshe [emoji23]Sawa mbibi[emoji3][emoji3]