Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Mkuu, yametokea mengi ambayo yote siwezi kuyaandika hapa, nimechoka. Jamaa nime mshukuru sana, yeye mwenyewe anajua, mpaka nimempatia namba yangu ya simu, na nimechukua yake pia.
Kwahiyo swala la shukrani kutoliandika hapa, ni mambo kuwa mengi, ila huku jamaa mwenyewe anajua kuwa nime mshukuru sana.
Nadhani umenielewa kaka! Asante..

Sawa, mkuu!!! Mazingira mapya na uchovu wa safari inafanya mtu ajisahau. Nakutakia kila ya kheri! Jihakikishe umejiweka salama!!! Maandishi yako mazuri sana na unaweza kujieleza kwa ufanisi mkubwa! Ubarikiwe na nisamehe kama nimekukwaza!!!
 
Sio povu we kilaza! Ndo maana hata moyo wa kusidia mtu umetoka siku hizi, kila mtu afe kivyake.
Unatoa msaada kwa mtu, then baadaye anakulamba kisogo, anakusema jinga hili.
Amesaidiwa, anakuja kutuambia yule ni shoga, mfano akawa si shoga inakuwaje? Nyoko wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajuaje kama sishoga? Umemuona? Acha umende aliyekuwa nae ndio kasema unani wewe ubishe utakuwa ni wewe ulitaka uzibuliwe mtalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngariba acha zako..huyu ni ndugu yako ..mkimbiz wa nchi yako..toa msaada wa hali na mali ww..mie km sumwamin sana..ila acha tuamin..
Sijui ana muscles aje nisaidia kukata fence[emoji87][emoji87][emoji87][emoji85][emoji85]...unanishaurije[emoji23][emoji23][emoji23]!akiwa na umbo km avatar yako kwisha habari yake..tutamlea tu
[emoji4][emoji4]cc@demi
mmh mmh mmh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhalisia ya maisha ni kuwa wakati wa shida, msiba au dhihiki, ni yule mtu ambaye tunamdharau ndiye anajitokeza kutoa msaada kwa hali na mali! Wale ambao tulikuwa tunawaona kuwa hawana maana kwetu, ndiyo wanakuja kutuokoa! Wale tuliyowapenda wanapita kimya kimya au wanakuletea kejeli na dhihaka! Dunia simama nishuke!!"
 
Mkuu, wewe umenielewa, asante!
 
Wenye shida kama nani? Umekutana na mimi ukagundua sina shida? Mbona unakuwa mtu usiyejali lakini? Aaargh! Ok, Sawa, ngoja nipambane na hali yangu, maana mtu unamuelewesha, ila yeye hata haelewi. Hujaonana na mimi ila unakazia tu eti mimi muongo, ok mkuu nashukuru.

😀😀😀😀 ETI Aaargh
wewe kama sio Beira Boy sijui
 
Back
Top Bottom