Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Uhalisia ya maisha ni kuwa wakati wa shida, msiba au dhihiki, ni yule mtu ambaye tunamdharau ndiye anajitokeza kutoa msaada kwa hali na mali! Wale ambao tulikuwa tunawaona kuwa hawana maana kwetu, ndiyo wanakuja kutuokoa! Wale tuliyowapenda wanapita kimya kimya au wanakuletea kejeli na dhihaka! Dunia simama nishuke!!"
Shaka si umsadie mwenzio.by Don@

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori ni ndefu ila kwa ufupi ni kuwa, Yule jamaa alipika chakula, sote tukala, saa nne hivi, tukalala, na hapo nilikuwa nimeshachukua tahadhari.
Mpaka asubuhi kumekucha, Jamaaa kachemsha ule wali uliobaki na chai pembeni, tukala. Na akanipatia Tsh 600 kama nauli ya kwenda na kurudi, kariakoo. Ila ki uhalisia huyu jamaa ni shoga, na mapaka hapa sidhani kama atanipatia msaada wa kueleweka.
Na hapa nimeachana nae, nimekuja kukaa huku karibia na jengo frani refu, Maeneo ya Shekilango nadhani!
Mpaka muda huu, kuna mtu amenipigia simu amesema anakuja mida ya mchana kunichukua. Kwahiyo namsubiri!
Na nikikutana nae, nitawaambieni pia! Asanteni.

Mkuu tuambie kilichotokea mlipolala usiku?
 
Baada ya kupigana hapa na pale humu JF nikiwaomba mnisaidie hata kibarua ili nipate hela ya kula nitakapofika Dar, Maombi yangu yanaonekana ni upuuzi!
Watu wananiita mimi ni Muongo, na wengine wakasema mimi ni Tapeli!

Treni kabla haijafika Dar, nikalia lia sana hapa JF nikiomba nisaidiwe nitakapo fika, lakini watu wanazidi kusisitiza "eti, mimi ni tapeli" Huku simu nayo imekaribia kuisha chaji, na treni ndiyo imeshafika Pugu.
Simu ikaisha chaji!
Na hapo niweshawafuata watu kadhaa PM hapa JF akiwemo manengelo na wengine wengi.
Wengine wananipigia simu, ila hawaongei, ambao walisema watanisaidia nikifika, wananiambia kwamba wako Safarini, kwahiyo hawataweza kunisaidia.
Mpaka hapo, nimebaki na elfu moja na mia nne tu.

Baada ya kukosa mtu wa kunipokea, nikaanza kuzurura hapa mjini. Nimezurura sana, na begi langu mgongoni huku nikitembea bize kama wenyeji wa mji wanavyo tembea. Naendelea hapo chini, maana hapa simu imefika mwisho wa kuandika, Kwahiyo naendelea hapo chini!
Yaani wewe badala ya kwenda dodoma capital city unakuja mkoani dar!!!!
 
Vijana wa Dar mnashindwaje kujioganize vijana watatu mpaka wa tano muonane na huyu kijana muongee naye na kuridhika kama asemayo ni kweli?

Mim sipo Dar ila kama anayosema ni kweli nipo tayari kumsaidia pesa kidogo sana ya kuendelea kujikimu na kama ni tapeli pia nitahakikisha atalala kituo chochote cha polisi kilicho karibu na yeye.

Nipo serious mtoa mada nitafute nikupe nilichokuahidi au mahabusu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hapo kwenye kulala polisi nina uhakika asilimia 100 hawezi kukutafuta
 
Ngariba acha zako..huyu ni ndugu yako ..mkimbiz wa nchi yako..toa msaada wa hali na mali ww..mie km sumwamin sana..ila acha tuamin..
Sijui ana muscles aje nisaidia kukata fence🙊🙊🙊🙈🙈...unanishaurije😂😂😂!akiwa na umbo km avatar yako kwisha habari yake..tutamlea tu
😊😊cc@demi
Nimecheka sana. Wewe huchelewi kumpangia kazi nyingine.
 
Acha uongo basi, PM Nimesha mfuata, ila hajanijibu. Halafu acha kusema una uhakika 100% Nime mtafuta, ila yeye ndiyo hanijibu.
Kwahiyo acha mazoea!

Nasubiria ulazwe polisi maana mmezidi kutulea story za uomgk
 
Nimecheka sana. Wewe huchelewi kumpangia kazi nyingine.

😂😂😂 Oh Lawd..tatizo umeacha kbs kuniamini..!hawa ndo wanatuofanya siku zisonge mkuu...sema ww ulikataa ile proposal yangu ya kazi ileee😂😂
 
Back
Top Bottom