Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Huyo mwanaume wa Dar, akaenda dukani kununua mchele, huku ndani akaacha ameniwashia Tv.
Jamaaa kaleta pale mchele, akaniambia nichambue, nikawa nauchambua, huku yeye anapika samaki.
Hapo nimekaa kitandani, maana chumbani kwa jamaa hakuna sehemu ya kukaa tofauti na kitandani!
Mara jamaa akaja kitandani pia, Kha! Yaani hata aibu hana huyu mwanaume wa Dar! Ananipapasa, nikamwambia hebu acha, maana nimeshagundua huyu jamaa ni Punga. Akaacha kweli, mala anarudia vile vile! Kha, yaani jamaa anakuja kwangu anajilegeza kabisa kama mwanamke! Nikawa namwambia, hebu tulia, huku nikiuondoa mkono wake mwilini kwangu! Akaniuliza, au unataka ukaoge kwanza?
Nikamwambia ndiyo, (maana siku tatu zote toka kigoma mpaka hapa dar, sijaoga) Jamaa akachukua maji, akanipelekea bafuni na madoido mengine anafanya, ni kama vile sasa mimi ni mume wake, na yeye ni mke wangu, wakati sote ni wanaume! Jamaa akanipatia Taulo nikaenda bafuni. Nimeoga vizuri nikamaliza, nikarudi chumbani! Namkuta ndiyo anapika ule mchele!!
Inaendelea...
 
Baada ya kupigana hapa na pale humu JF nikiwaomba mnisaidie hata kibarua ili nipate hela ya kula nitakapofika Dar, Maombi yangu yanaonekana ni upuuzi!
Watu wananiita mimi ni Muongo, na wengine wakasema mimi ni Tapeli!

Treni kabla haijafika Dar, nikalia lia sana hapa JF nikiomba nisaidiwe nitakapo fika, lakini watu wanazidi kusisitiza "eti, mimi ni tapeli" Huku simu nayo imekaribia kuisha chaji, na treni ndiyo imeshafika Pugu.
Simu ikaisha chaji!
Na hapo niweshawafuata watu kadhaa PM hapa JF akiwemo manengelo na wengine wengi.
Wengine wananipigia simu, ila hawaongei, ambao walisema watanisaidia nikifika, wananiambia kwamba wako Safarini, kwahiyo hawataweza kunisaidia.
Mpaka hapo, nimebaki na elfu moja na mia nne tu.

Baada ya kukosa mtu wa kunipokea, nikaanza kuzurura hapa mjini. Nimezurura sana, na begi langu mgongoni huku nikitembea bize kama wenyeji wa mji wanavyo tembea. Naendelea hapo chini, maana hapa simu imefika mwisho wa kuandika, Kwahiyo naendelea hapo chini!
manengelo anaonekana ni mkarimu sana.
 
Usimsahau kumtafuta mwakilishi wa waha hapa mjini daslam Bwn Zitto au yule msanii baba Level


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Stori ni ndefu ila kwa ufupi ni kuwa, Yule jamaa alipika chakula, sote tukala, saa nne hivi, tukalala, na hapo nilikuwa nimeshachukua tahadhari.
Mpaka asubuhi kumekucha, Jamaaa kachemsha ule wali uliobaki na chai pembeni, tukala. Na akanipatia Tsh 600 kama nauli ya kwenda na kurudi, kariakoo. Ila ki uhalisia huyu jamaa ni shoga, na mapaka hapa sidhani kama atanipatia msaada wa kueleweka.
Na hapa nimeachana nae, nimekuja kukaa huku karibia na jengo frani refu, Maeneo ya Shekilango nadhani!
Mpaka muda huu, kuna mtu amenipigia simu amesema anakuja mida ya mchana kunichukua. Kwahiyo namsubiri!
Na nikikutana nae, nitawaambieni pia! Asanteni.
 
[emoji23] [emoji23]Mkuu yaani unakutana na mtu NJIANI.anakupeleka kwake
anakuwekea maji
unakula
pasipo hata kukufahamu??
hizi ni chai sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unasema chai kwakuwa hujawai pitia shida.Nyie ndo wale toka chekechea mpaka chuo kikuu hamjaw kwama na mlipomaliza chuo fasta ukapitishwa job
 
Back
Top Bottom