Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Picha hata ukiwa umebeba begi, sijui kwa nini wewe nimeshindwa kukuelewa na kuuelewa mwandiko wako toka mwanzo yaani kuna kitu hakiko sawa kabisa.
Anatumia itel ya batan hataweza kujipiga picha kuapload hapa. Ila binafs naamin jamaa ni mkweli na nashawishika kuamin ni mtu mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatumii smartphone. Anatumia simu ndogo ambayo hata nafasi za herufi ni 1260. hata kama ana mb kumi anaweza tumia siku mbili
 
Vijana wa Dar mnashindwaje kujioganize vijana watatu mpaka wa tano muonane na huyu kijana muongee naye na kuridhika kama asemayo ni kweli?

Mim sipo Dar ila kama anayosema ni kweli nipo tayari kumsaidia pesa kidogo sana ya kuendelea kujikimu na kama ni tapeli pia nitahakikisha atalala kituo chochote cha polisi kilicho karibu na yeye.

Nipo serious mtoa mada nitafute nikupe nilichokuahidi au mahabusu.
 
Hatuna muda wa kupoteza na wehu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anayosema ni kweli nipo tayari kumsaidia pesa kidogo sana ya kuendelea kujikimu na kama ni tapeli pia nitahakikisha atalala kituo chochote cha polisi kilicho karibu na yeye.

Nipo serious mtoa mada nitafute nikupe nilichokuahidi au mahabusu.
Mwache ili tuone tofauti ya wanaume wa dar na mkoani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Tatizo lenu Waha huwa hamtabiriki kamwe.....mnaomba hela mkipewa mnatugeuzia kibao na kuwa wafanyakazi/ATM zenu. Acheni ushirikina kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…