[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hapo kwenye kulala polisi nina uhakika asilimia 100 hawezi kukutafuta
Acha uongo basi, PM Nimesha mfuata, ila hajanijibu. Halafu acha kusema una uhakika 100% Nime mtafuta, ila yeye ndiyo hanijibu.
Kwahiyo acha mazoea!
Utatupa mrejesho mkuuKanitafuta ila nahitaji kumjua zaidi.
Utatupa mrejesho mkuu
Tusio navyo je [emoji5][emoji23][emoji23][emoji23] natafta kijana wa namna hyo.mkuu..ila.awe na leseni pia mkuu awe ana kifua fulan amazing..misuli km yt....nna fence sumbufu sana...!
umeipendea nn
Karibu na the great park?Nauli unayo ulipo? Kama unayo uliza mtu nataka kwenda tabata barakuda ukifika hapo kituoni ni pm namba yako /
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha moyo wa mshumaa ukoje boss?
hahah huku si kwa wahaya mkuu?Endelea kutembea mpaka manzese, kunja kushoto barabara ya lami inayokunja... Nenda mpaka upate baa kubwa na lami nyingine inayokunja kulia... Songa mbele mpaka ukute barabara ndogo ya vumbi ambayo kuna bodaboda na wauza samaki.. Nyooka na hiyo ya vumbi... Ukikuta kiwanja kikubwa chenye kisima cha maji cha juu.... Then kunja uchochoro wowote utakuta vichumba vidogo vidogo salimia ingia ndani mwambie shemeji ako umetumwa na baba watoto ukapumzike...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi nimeona huruma kwa kweli.
mpe pesaHadi nimeona huruma kwa kweli.
Angekuwa wa kike ningeishi naye ila wa kiume sasa sijui hata nimsaidiaje.
Apambane na huyo shoga hahaahaHadi nimeona huruma kwa kweli.
Angekuwa wa kike ningeishi naye ila wa kiume sasa sijui hata nimsaidiaje.
nini tena.khaa