Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Acha uongo basi, PM Nimesha mfuata, ila hajanijibu. Halafu acha kusema una uhakika 100% Nime mtafuta, ila yeye ndiyo hanijibu.
Kwahiyo acha mazoea!

Kua mnyeyekevu,
 
Endelea kutembea mpaka manzese, kunja kushoto barabara ya lami inayokunja... Nenda mpaka upate baa kubwa na lami nyingine inayokunja kulia... Songa mbele mpaka ukute barabara ndogo ya vumbi ambayo kuna bodaboda na wauza samaki.. Nyooka na hiyo ya vumbi... Ukikuta kiwanja kikubwa chenye kisima cha maji cha juu.... Then kunja uchochoro wowote utakuta vichumba vidogo vidogo salimia ingia ndani mwambie shemeji ako umetumwa na baba watoto ukapumzike...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahah huku si kwa wahaya mkuu?
 
nini tena.khaa

Kuna mtu alikuja huku analia shida
Watu nafsi zikawataka wamsaidie
Baadae amekuja kujulikana ni tapeli

Niliponea kwenye tundu la sindano
Toka hapo siamini mtu anaeomba msaada jf
 
Tuache Mazoea Jamani
 
Back
Top Bottom