Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

hivi humu hamna waha mje kumuokoa muha mwenzenu?humu waswahili wataishia kumkejeli tu!!!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ natafta kijana wa namna hyo.mkuu..ila.awe na leseni pia mkuu awe ana kifua fulan amazing..misuli km yt....nna fence sumbufu sana...!
Hapo kwenye kifua sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…