Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Mtu mwenye nia ya kumsaidia huyu jamaa ni vizur kama atamtafuta kwa njia ya simu kuliko kureply hum inakua ngum kwa yeye kupata ujumbe huo kwa muda muafaka. Mkuu aise andika tena namba yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app