Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Umechukua vyombo na matangazo ya shughuli zetu?pia dawa za kuwavuta wadada wenye pesa na za kuombea hela na kazi na kutuma makombora kwa wajeuri

Treni umeingia gharama,ule ungo wa mzee ungekufikisha nyumbani kwa jiwe
Tumefika kituo cha Rwiche hapa wakuu!
 
Ukifika dar Njoo kona baa.Ajira ipo
 
Nakushauri nenda Dodoma kuna fursa nyingi za ujenzi,juzi wakandarasi walijiwa juu na waziri mkuu kwanini kasi yao ya ujenzi ipo chini sana wakandarasi wakajibu rasilimali watu hakuna,kwahiyo kuna uhaba mkubwa tu kwa kazi za ukibarua wa ujenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…