mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ukifika ulizia magogoni wapi?watakuleta .utalala,utakula mpaka utakapopata Kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikabidhi siku moja nitie sumu kama hutaleta mrejesho[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]huna sumu ww
Kwa mtaani hapo hamna elimu ya chuoKwa hiyo sisi tuliobahatika kusoma mlimani na tunaishi dsm tutakuwa tupo level ipi ya elimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
nikabidhi siku moja nitie sumu kama hutaleta mrejesho[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili linawezakuwa tusi?
kwa kweli kubaka siwezi shemu na sifikiri kufanya hivyo kwani ukatili mbaya sana.yaan ww ht nifungiwe na ww rum 1 utakesha..ht kunibaka huwez ww..
Mwandiko wa yule jamaa ni hatari saaaana. Kumwelewa inaitaji utulivu, obvious atakua Daktari.Siyo tusi, anakuuliza una urefu na uzito kiasi gani?
Kuna kazi ambayo malipo yake ni shilingi 100,000/-, unapata chakula na malazi nje ya hiyo laki.
Na kazi inahusika na kuhudumia wagonjwa.
sasa je!
Tumefika kituo cha Rwiche hapa wakuu!
Mwandiko wa yule jamaa ni hatari saaaana. Kumwelewa inaitaji utulivu, obvious atakua Daktari.
Ngoja aje aonje joto LA jiwe KICHAA[emoji41] [emoji116]Wacha ache mzee aonje matamu ya dunia
shemu nina sumu ya "ulimi" inatosha kulegeza kufuli sihitaji kubaka ni aibusasa je!
shemu nina sumu ya "ulimi" inatosha kulegeza funguo sihitaji kubaka ni aibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri nenda Dodoma kuna fursa nyingi za ujenzi,juzi wakandarasi walijiwa juu na waziri mkuu kwanini kasi yao ya ujenzi ipo chini sana wakandarasi wakajibu rasilimali watu hakuna,kwahiyo kuna uhaba mkubwa tu kwa kazi za ukibarua wa ujenziWakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama utakuwa na kazi, Tafadhali nisaidie, Na elimu yangu ni darasa la Saba 0744472252 Ni namba yangu.
Bora umemwelewesha mkuu, pdidy member kitambo lakini mwandiko mbaya!Siyo tusi, anakuuliza una urefu na uzito kiasi gani?
Kuna kazi ambayo malipo yake ni shilingi 100,000/-, unapata chakula na malazi nje ya hiyo laki.
Na kazi inahusika na kuhudumia wagonjwa.