Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Mie nilianza kumfuatilia tangu thread ya kwanza kabisa...muda na vituo alivyokuwa anataja vilikuwa vinaendana. Ningemuunganisha na poti mmoja aliekue anaescort hiyo safari na angemsaidia tu ..kwa bahati mbaya jamaa hakua zamu
Watu bwana mnashindwa kumwamini aise mnamwamini pixel, ahahahhah. All in all, kama unaweza toa msaada toa tu Mungu atakulipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante shunie, kwa aliye na chochote anaweza kumpatia kumpiga tafu, kwa simu aliyonayo hawezi kupiga wala kutuma picha naombeni sana wadau mumsaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilishamtumia chochote nitajitahidi tena masikini Mungu amsaidie tu nilivyoongea nae tu nilijua kweli ana shida
 
Narudia kukutakia mfanikio mema katika utafutaji wako sina cha kukusaidia muha mwenzangu but kidono ni muhimu sana..
 
Muda huu ndiyo naelekea huko, Mwambie nimkute. Niko ndani ya gari.
Fika mkuu na huyo jamaa uonane nae nae atupe mrejesho. Tufunguke kutoa misaada tuliokuwa nayo hii dunia tunapita dogo halafu life gumu dogo inabidi ukaze si kitoto. Tuko pamoja

Naendelea hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mpaka sasa hajafika jamaa ni muongo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jamaa anakufuata huko baracuda, nadhani alikuwa anatembea kuelekea huko nimekutana naye kijitonyama shule nilimpigia simu akanipa mtu na kujua alipo nikamfuata na kumpeleka kituoni, hapo juu nimeambatanisha picha yake ila usije ukamzingua tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…