Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

uandishi wako hasa kwenye uzi huu unasadifu kabisa kama sio tapeli basi ni mpuuzi fulani aliyeamua kusumbua watu...kwa heri

kwa sie wataalam wa kufanya analysis (pyscho analyst) huwa tunaweza determine character ya mtu just kwa muandiko au maandishi aliyoandika, au kwa appearance or mavazi and so on....

actually alivyoandika thread yake ya kwanza kabisa, chakwanza nilienda angalia thread zake za nyuma, just from there nikaconclude the guy is serious!

lakini pia from the comments alizokuwa anaziandika na kujibu tayari nilishajua ni aina gani ya mtu by imagination na baadae nimekuja prove right nilipoona picha!

so Kiteitei nafikiri ungesoma thread yake ya kwanza ya safari hii, kisha comments zake za ndani ungejudge vizuri zaid ya ulivyoconclude hapa
 
Kuwa makini Tu mjini wasikuibie simu yako kabla ya kukutana na msaada
Pia chunga sana pindi inapofika Usiku
 
Huyu jamaa ni darasa la saba,
Lkn anajua kum-mensheni mtu,
Anajua kuandika vizuri,
Anajua quote,
Anajua kuacha nafasi baina ya neno nano...

Huyu atakuwa anafanya UTAFITI.
NI MTU NA ELIMU YAKE KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni darasa la saba,
Lkn anajua kum-mensheni mtu,
Anajua kuandika vizuri,
Anajua quote,
Anajua kuacha nafasi baina ya neno nano...

Huyu atakuwa anafanya UTAFITI.
NI MTU NA ELIMU YAKE KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu umeamua upinge kwa hoja hizo? Sawa bwana, asante kwa kunipinga.
 
Mwaka 2011 niliomba msaada hapa kwa kua nilikatiwa mshahara.Watu walinipa ushauri ila kwa miaka ile sikufanikiwa Fedha.Nilianza Chuo kikuu na Bahati nikapata loan 80% na nikamaliza chuo........Mengine.......Please wait..................................,Jf imekua ni sehemu nzuri hata kimawazo si fedha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom