Tripp:Nauli unayo ulipo? Kama unayo uliza mtu nataka kwenda tabata barakuda ukifika hapo kituoni ni pm namba yako /
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelekea huko muda huu!Usiwe mwepesi kumhukumu while hujui km anayo nauli au laa, pia kama ni mgeni hapa Dar sio rahisi km usemavo ww aende kituoni aje huko ulipo pengine hata kituo cha kupandia mabasi ya huko Tabata hajui kiko wp.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wanaume wa. Dar Leo wanasema wapo mkoani
Unaposema mimi ni tapeli, Umekaa na mimi nikakufanyia utapeli?
Asante sana kwa kututhibitishia kwamba sio tapeli hata mm nilihisi km hatanii. Mungu atamfanyia wepesi apate kazi soon.Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefika wapi dogo??Muda huu ndiyo naelekea huko, Mwambie nimkute. Niko ndani ya gari.
Wakuu jamaa anaomba msaada nyie mnabebishana kuweni na huruma
Dah...Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha hao wadhamini bro,wakat jamaa anasubr msadaa sio vbya tukipata wadhamini kama hawaWakuu jamaa anaomba msaada nyie mnabebishana kuweni na huruma
Mkuu unataka kumfanya nini huyo dogo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama utaweza njoo hapa msasani opp na shule ya IST. Tuonane. Unambie umevaaje. Huku sijui wanapanda gari za wapi.sijawah panda.anayepaelewa amwelekeze akifika hapa nikaongea naye ntajua nini cha kumfanya
Dah hii kali sana yule jamaa member jf shoga alitaka kutuharibia kijana wetu dah kweli dunia haina huruma.Nimekutana na jamaa kijitonyama shule, ninathibitisha jamaa ana uhitaji aisee, na wala siyo tapeli wala furahisha genge, sina kazi ya kumpa ila nimemsaidia kumpeleka kituoni makumbusho na kumpandisha gari la segerea ili ashuke hapo baracuda, aliye na nia ya kumsaidia amsaidie, nimeambatanisha pixha yake amenipa ruhusa ya kufanya hivyo ili mumuaminiView attachment 985989
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah maswali ya kiwakiHapa JF nimegunduaga mada za kiwaki ndio zinapendwa na watu wengi. Nimegundua pia JF GT ni wachace labda asilimia 5-8 ya members wote. Zilizobaki wengi ni below average minds labda kama asilimia 60 hivi, na hao asilimia 32 wengine ni average minds.
Yule siyo JF Member. Hata JF Sidhani kama anaifahamu.Dah hii kali sana yule jamaa member jf shoga alitaka kutuharibia kijana wetu dah kweli dunia haina huruma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok jamaa wa baracuda amekupigia?Yule siyo JF Member. Hata JF Sidhani kama anaifahamu.