Jibu swali umefika wapi wewe??Yule siyo JF Member. Hata JF Sidhani kama anaifahamu.
uandishi wako hasa kwenye uzi huu unasadifu kabisa kama sio tapeli basi ni mpuuzi fulani aliyeamua kusumbua watu...kwa heri
Kwahiyo mkuu umeamua upinge kwa hoja hizo? Sawa bwana, asante kwa kunipinga.Huyu jamaa ni darasa la saba,
Lkn anajua kum-mensheni mtu,
Anajua kuandika vizuri,
Anajua quote,
Anajua kuacha nafasi baina ya neno nano...
Huyu atakuwa anafanya UTAFITI.
NI MTU NA ELIMU YAKE KABISA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,Mpaka hapo kaka hujaamini? Aise, kazi ipo uchumi wa viwanda.
Mkuu huyu dogo sura yake haijakaa kiusalama salama kabisaMkuu,
Ww ni Usalama,
Na hii ni mtihani uliopewa....
Umepewa mtihani wa kushawishi ni kwa namna gani unaweza pata msaada wa fedha pale unapoishiwa.....
Unajitahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa ni wewe tapel mkubwaMzee tulia uwe mpole ukijaa upepo hutapata msaada maana wewe inaonesha ulikurupuka kwenda Dar kwa hiyo usitake na wenyeji wakurupuke kukupojea. Be patient man msaada utaupata hapa hapa jf baada ya members kujiridhisha vya kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Yote hayo yanawezekana ukijifunza, ni Maamuzi tu. Asante!Mkuu,
Kwani unafikri sura zikoje?
Dogo wa la saba kaijuaje JF?
Anawezaje kumensheni mtu?
Anawezane andika kwa mpangilio hivi?
Anawezaje jibu hoja kwa ustadi hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usalama afanye yote hayo ili nini sasa.Kama wakikuhitaji na unatumia simu wanakupata kilaini.Labda uache matumizi ya simuKuna mtu amekuja Na hoja kuwa mimi ni "Usalama" Hajui alisemalo.
Sawa kaka!Unakunya wapi? Unaoga wapi? Unalala wapi? nyie ndio mnalichafua jiji hili..
Sent using Jamii Forums mobile app