Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Wewe usiku huu nimekwambia tafuta msikiti au kanisa hapo barakuda kalale humo kesho kukikucha unajipanga upya pesa umetumiwa hivyo kula ulale kati ya moja ya sehemu hizo nilizokushauri dogo hizo ni nyumba za ibada watakupa msaada tu. Unless uendeleze ubishi maana nasikia watu wa kigoma wabishi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujakosea. Ulipaswa kumualert hata kabla hujaanza safari na ikiwezekana ungemualert kila baada ya dakika chache. Huwez jua hapo Barakuda ni kazini kwake na sasa amesharud nyumban bila kukujulisha aidha baada ya kuona haufik au kwa kusahau tu. Kutojibu PM inatokana na yeye kutokuwa online au sababu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu
Ww umeshindwa kumpa huo msaada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana wa Dar mnashindwaje kujioganize vijana watatu mpaka wa tano muonane na huyu kijana muongee naye na kuridhika kama asemayo ni kweli?

Mim sipo Dar ila kama anayosema ni kweli nipo tayari kumsaidia pesa kidogo sana ya kuendelea kujikimu na kama ni tapeli pia nitahakikisha atalala kituo chochote cha polisi kilicho karibu na yeye.

Nipo serious mtoa mada nitafute nikupe nilichokuahidi au mahabusu.
Hahahahahaha
 
Boss kwani we kigoma ulikua una ujuzi gani na kwanini umekuja dar...maana naona kama series hii,,,.,af jana ukipata msaada wa shoga...uaipoangalia usijegeuzwa weye...ila sio ishu kwaku ulimkarim jana shoga kalale kwake...au tafuta waha waliotangulia kuja mjini huwa wanakuchangia nauli ukaanze upya

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
Jamii Forum hakuna msaada kaka!
naona bora niende mtaani kujieleza! Ili kama ni kusaidiwa, nisaidiwe na wanao niona jinsi nilivyo. Hapa JF Ni watu wanapiga stori tu na kupotezeana muda.
Ni mambo ya kijinga kweli. anatokea mtu anasema mimi ni Tapeli/muongo, Kweli? Yaani mtu hujakutana na mimi, halafu unasema mimi ni tapeli? Sawa jamani, nawashukuruni kwa maoni yenu kwangu.
Ngoja nipambane na hali yangu. Asanteni sana pia kwa kunipotezea Muda.
Mjinga tu ww, hunipotezei muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndo Muha aise alietoka kigoma toka majuzi mpaka Leo na anaomba msaada lakini
1;simu yake haiishi chaji toka tarehe moja jioni mpk Leo tarehe 4 na anaendelea kudunda NATO

2;amefika na tsh 1,400 lakini simu yake ina bandle na yupo online mda wote

3;ni muombaji msaada pekee ambae ameishia darasa la saba tena la kigoma lakini anajua vizuri kujieleza tena kwa kiswahili fasaha na kuelewa comments zote hata za kiinglish

4;ndo muombaji msaada pekee ambae hataki kuonana na wanaemwambia akutane nao kuanzia Valentine, barakuda,kona bar nk

5; ni muombaji pekee ambae anawaita akili kisoda watu wanachallenge kwa maswali

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka sana
 
Hilo jina lako sasa mkuu. By the way naendelea hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umepata msaada halafu unajadili jina nalotumia JF? Kumbe hauko serious mkuu,me nilitaka nikupokee uje Lunduno kuna nyumba wanakaa vijana wengi ujiunge nao maisha yasonge halafu wewe unauliza jina.Nilijua ungeniomba namba ya simu
 
Back
Top Bottom