Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nimeshafika hapa, jamaa alisema nimtafute, ajabu hata PM Hataki kunijibu.

Usipanik, JF PM siyo kama meseji ya simu kwamba anaona papo kwa pao, ni mpaka a-login ndo ataona.

Mpe kama saa moja, ukiona kimya tafuta gest ya kulala hukohuko ya sh 8,000/-, kesho asubuhi atakuwa ameshaona. Atakutafuta. Usilale nje, kwenye hela ulizopewa toa sh 8,000 upate pa kulala kwa usalama.
 
Nimeshafika hapa, jamaa alisema nimtafute, ajabu hata PM Hataki kunijibu.
Hujakosea. Ulipaswa kumualert hata kabla hujaanza safari na ikiwezekana ungemualert kila baada ya dakika chache. Huwez jua hapo Barakuda ni kazini kwake na sasa amesharud nyumban bila kukujulisha aidha baada ya kuona haufik au kwa kusahau tu. Kutojibu PM inatokana na yeye kutokuwa online au sababu nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa alimwambia dogo anamsubiria hapo akifika a-PM namba yake ..

Homosapiens
 
Mkuu mi namfuatilia kwenye huu uzi nijue hatma yake hasa kwa sababu ukiangalia mwanzo wa huu uzi jamaa kawa creative sana kwa kuiandika topic yake na ndani katia story amabayo imewavutia wengi kuusoma. Uandishi wake wa mkato mkato na kusema "ninaendelea hapo chini" utarudi tu kusoma kujuwa kilichoendelea hasa ukizingatia katika story yake kamuingiza "shoga" mpaka hapo nahisi utakuwa umenipata chief.

Ujibuji wake ni wa hekima na ni vigumu kwa mtu wa darasa la saba kuandika hivi. Kuna mengi nayafikiria kuhusu huyu dogo nahisi kuna kitu anatuficha amabacho anakihitaji ni zaidi ya msaada wa kazi kama thread inavyojieleza.

Tuendelee kuangalia hii movie inaishaje., naendelea hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]kwaiyo na ww ndo unaeka kibwagizo cha naendelea apo chini
 
Back
Top Bottom