Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Mzee kwani simu uliyofungulia account jf ni lazima uendelee kuitumia hiyo hiyo tu?

Kuhusu alikochaji ni kwamba jamaa alipofika Dar siku ya jana simu ilikuwa imeisha chaji ( nadhan ungefuatilia tangu mwanzo ungefaham hili) alipofika Dar akakutana na mtu so member wa jf ambayo akamsaidia sehem ya kulala bila shaka alichaji simu hapo hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok basi hyo simu inajitahd kutunza moto kwa muda mrefu saana.maana hapa alikuja sa nne,akidai kuwa ndo ametoka kwa yule jamaa ambako alilala jana..na tangu ule muda mpka sasa yupo Online
 
Ok basi hyo simu inajitahd kutunza moto kwa muda mrefu saana.maana hapa alikuja sa nne,akidai kuwa ndo ametoka kwa yule jamaa ambako alilala jana..na tangu ule muda mpka sasa yupo Online
Ni kweli . Kwa simu aliyosema anatumia nadhan ikiwa full charge ina uwezo wa kikaa na chaji hata siku mbili au tatu.
Lakin hata uandishi wake unashawishi kwamba anatumia simu ya batani maana sizioni typing error kwenye comments wala post zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni darasa la saba,
Lkn anajua kum-mensheni mtu,
Anajua kuandika vizuri,
Anajua quote,
Anajua kuacha nafasi baina ya neno nano...

Huyu atakuwa anafanya UTAFITI.
NI MTU NA ELIMU YAKE KABISA.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa watu tulioishi vijijini, si ajabu kukutana na darasa la saba ambaye yuko vizuri kichwani, anaweza kuwa alifaulu kwenda secondary ila karo ikazingua. Na writing skills tunazitoa primary. By the time namaliza darasa la saba nilikuwa nina uwezo hata wa kuandika risala kwa kiswahili fasaha, barua ya kazi kwa kiingereza rahisi, though makosa ya grammar lazima yawepo, ila issue za tenses usingenikosoa.

Na jamaa yuko mtaani kitambo baada ya kumaliza shule, huwezi jua ameendelea kujielimisha mtaani kwa kiasi gani.

Ukumbuke pia JF ni shule, inasaidia sana kujifunza jinsi ya kuandika, matumizi ya maneno, r na l etc kama ukiamua kujifunza, na wale tunaoamini hatujui huwa tunajifunza haraka kuliko anayeamini anajua.
 
Sikia mzee
Kwa bei ya kawaida figo moja ni million 70,uza moja kisha chukua million 40 ka bet, kwa odds za point 2 muwekee Man united (under Ole gunner) win,muwekee Barcelona win.

Baada ya hapo chukua mil 80 zako kwa muhindi,nunua figo kwa mil70 ,utabaki na faida ya mil10+ mil30 (ile ilo baki)=mil mil40.

Mil40 chukua rudi kigoma kalime mawese
Nawasilisha!!
 
Umeishia darasa la ngapi Mkuu

Homosapiens
 
Back
Top Bottom