Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Wewe usiku huu nimekwambia tafuta msikiti au kanisa hapo barakuda kalale humo kesho kukikucha unajipanga upya pesa umetumiwa hivyo kula ulale kati ya moja ya sehemu hizo nilizokushauri dogo hizo ni nyumba za ibada watakupa msaada tu. Unless uendeleze ubishi maana nasikia watu wa kigoma wabishi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu
Ww umeshindwa kumpa huo msaada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha
 
Boss kwani we kigoma ulikua una ujuzi gani na kwanini umekuja dar...maana naona kama series hii,,,.,af jana ukipata msaada wa shoga...uaipoangalia usijegeuzwa weye...ila sio ishu kwaku ulimkarim jana shoga kalale kwake...au tafuta waha waliotangulia kuja mjini huwa wanakuchangia nauli ukaanze upya

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
Mjinga tu ww, hunipotezei muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nimecheka sana
 
Hilo jina lako sasa mkuu. By the way naendelea hapo chini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umepata msaada halafu unajadili jina nalotumia JF? Kumbe hauko serious mkuu,me nilitaka nikupokee uje Lunduno kuna nyumba wanakaa vijana wengi ujiunge nao maisha yasonge halafu wewe unauliza jina.Nilijua ungeniomba namba ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…