Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Bosi unaonaje ukitulia kwanza ukapata uthibitisho kutoka kwa wadau?

Wewe ni mmoja kati ya watu ambao najua ni wepesi kusaidia, najua hizi ni doubts tu kutoka na self instincts, ukithibitishiwa hutasita kusaidia. Mpe benefit of doubt jamaa.
Likiwa proved ntakuwa tayari kumchangia mkuu..kutoa ni moyo.
 
Bosi unaonaje ukitulia kwanza ukapata uthibitisho kutoka kwa wadau?

Wewe ni mmoja kati ya watu ambao najua ni wepesi kusaidia, najua hizi ni doubts tu kutoka na self instincts, ukithibitishiwa hutasita kusaidia. Mpe benefit of doubt jamaa.
Wanataka kila anayeomba msaada asijue kuandika vizuri(awe kilaza) mkuu.

Walitaka awe kama Viatu vya Samaki na hawa ndio ma GT.
 
My young brother aise hukutakiwa kwenda Dar kabla hujajihakikishia malazi, na kazi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…