Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

hivi humu hamna waha mje kumuokoa muha mwenzenu?humu waswahili wataishia kumkejeli tu!!!!!
Sina uhakika kama ni Muha, Kigoma kuna .makabila zaidi ya Sita so kama ni kumsaidia tumsaidie tu bila kujali kabila lake. Binafsi mpaka sasa naona kama jamaa anatuletea maigizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ni ujiko kumsaidia mtu.Sawa bhana ngoja nitulize kipele changu

Mkuu hayo ni majibu ya third party, siyo kila mmoja anafurahia kuona mwingine anasaidiwa au anafanikisha jambo.

  • Kumbuka wimbo wa Bahati Bukuku wa "Unapoianza safari wakatakutia moyo, unapoonesha mafanikio watainua vikwazo, siyo wote wafurahiyao mafanikio yako".

Tuelewe binadamu.
 
Basi nilijua ni wewe nilitaka nipigie zile namba ulizoweka hapo juu.


Homosapiens
 
Basi nilijua ni wewe nilitaka nipigie zile namba ulizoweka hapo juu.


Homosapiens
Hahaha sapiens zile naamba kaeka nahisi ni za muhusika wa Lunduno ni centre iliowakusanya vijana na kuwaeka pamoja na kutoa elimu mbalimbali za kimaisha. Sasa we ipige hiyo namba tukupeleke Wakupeleke Lunduno

Naendelea hapo chini...
 
Hahaha sapiens zile naamba kaeka nahisi ni za muhusika wa Lunduno ni centre iliowakusanya vijana na kuwaeka pamoja na kutoa elimu mbalimbali za kimaisha. Sasa we ipige hiyo namba tukupeleke Wakupeleke Lunduno

Naendelea hapo chini...
Hahaha

Homosapiens
 
Mmmhh Ila Wanaume Wa Dar Wana Huruma Kama Ya Mama Maria,,, Hv Kweli Mwanaume Unamuwekea Mwanaume Mwenzio Maji Ya Kuoga Then Unampkia Mnakula Then Unalala Nae Dah Aise Ama Kwel Dar Kuna Wanaume Wenye Huruma Km Ya Mama Maria
 
Asante kwa mchango wako but ukijaribu kunisoma vizuri utagundua sikua na nia ovu au wivu kama unavyodhani. Lengo langu lilikua ni kuacha kumsumbua kijana wa watu
 
Wewe wa Moshbar,kwa diwani ,masika,mazizini,markazi,kwa makobe,kwa temba,maduka,chama au kwa mkolemba?
Anzia transforma mpaka mazizini mitaa niliyokulia hiyo. Ila huko kwa mkolemba markaz moshi bar kote nimechafua. Kama unaujua masjid Nassor ule msikiti wa pale mazizini nimepiga sana adhana pale allah akbar kama zotee. Uwanja wangu wa mpira ni pale godzilla japo sasa hivi kanisa wameuchukuwa uwanja.

Naendelea hapo chini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…