Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Sina uhakika kama ni Muha, Kigoma kuna .makabila zaidi ya Sita so kama ni kumsaidia tumsaidie tu bila kujali kabila lake. Binafsi mpaka sasa naona kama jamaa anatuletea maigizo.hivi humu hamna waha mje kumuokoa muha mwenzenu?humu waswahili wataishia kumkejeli tu!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app