Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Na 0712..alitaka kumpatia piaMmmhh Ila Wanaume Wa Dar Wana Huruma Kama Ya Mama Maria,,, Hv Kweli Mwanaume Unamuwekea Mwanaume Mwenzio Maji Ya Kuoga Then Unampkia Mnakula Then Unalala Nae Dah Aise Ama Kwel Dar Kuna Wanaume Wenye Huruma Km Ya Mama Maria
Dharau nini sasa wakati watu bado wana wana wasiwasi jamaa wa baracuda hajasomeka na hapa kimanga na baracuda ni karibu akija mie atanikuta then tutamaliza utata wote na watu watamuamini 100% atapata msaada...Akyamama watu dharau mmezaliwa nazo hamjazinunua
Freshi mkuu ,kimepoa.Kipere vipi,
Natania
Kwa majibu haya wewe ni TAPELI, p.u.m.b.a.v.uUsiishi kwa kuzoea vitu kaka!
Acha dharau wewe, jamaa amesaidiwa almost laki tatu mpaka sasa hivi.Aibu sana iwaendee members wote wa JF kwa kushindwa kumsaidia member mwenzetu mpaka anapata mawazo ya kulala stendi.
Homosapiens
Sapiens huyu dogo analalaje stand hakuna usalama wowote baaada ya kwenda kwenye nyumba za ibada atapata msaada. Hapa ndipo anaanza kunipa mashaka huyu dogoAibu sana iwaendee members wote wa JF kwa kushindwa kumsaidia member mwenzetu mpaka anapata mawazo ya kulala stendi.
Homosapiens
Tuliza upele ww inakuuma nn hata Kama wametapeliwa. mkuunduguyako nn[emoji35]Nakazia wote waliotoa pesa zao na wanaoendelea kumuamini huyu tapeli wameliwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeonja kanhadithia moneytalk[emoji38]Kwani ulishawahi kulionja[emoji3][emoji3][emoji3]
Yaani mleta mada ni mimi tu Sijakuelewa au
Wadau wake mnaanza kuoka mafichoni!Inawezekana unayosema lakini ukiangalia upande wa pili tapeli hawezi kukwambia alipo kwa sasa huyu anakwambia alipo, na anakupigia simu pia na kutaka kuonana na mtu. Tapeli mara nyingi huweka mawasiliano ya kutumiwa hela sio kukutana. Tatizo lake huyu mgeni hajui apande gari ipi na ashuke wapi. Kama ushawahi kusafiri nadhani utamuelewa vyema sana.
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Vipi mkuu mbona kama umelewa.
Asante kwa mchango wako but ukijaribu kunisoma vizuri utagundua sikua na nia ovu au wivu kama unavyodhani. Lengo langu lilikua ni kuacha kumsumbua kijana wa watu
Hahaha Godzila pale nimekimbiza sana na rafiki yangu anaitwa Maganga alikuwa anacheza sana Stone miaka hiyo.Kwahiyo kina Temba walikuwa wanacheza Godzila,wakina Toby muuza matunda wote unawakumbuka? Godzila saivi kama ulivyosema hakuna tena uwanjaAnzia transforma mpaka mazizini mitaa niliyokulia hiyo. Ila huko kwa mkolemba markaz moshi bar kote nimechafua. Kama unaujua masjid Nassor ule msikiti wa pale mazizini nimepiga sana adhana pale allah akbar kama zotee. Uwanja wangu wa mpira ni pale godzilla japo sasa hivi kanisa wameuchukuwa uwanja.
Naendelea hapo chini...
I wish nkikuneFreshi mkuu ,kimepoa.
Ila team yangu ya nyumbani ilikuwa UJENZI pale kanisani kwa TembaAnzia transforma mpaka mazizini mitaa niliyokulia hiyo. Ila huko kwa mkolemba markaz moshi bar kote nimechafua. Kama unaujua masjid Nassor ule msikiti wa pale mazizini nimepiga sana adhana pale allah akbar kama zotee. Uwanja wangu wa mpira ni pale godzilla japo sasa hivi kanisa wameuchukuwa uwanja.
Naendelea hapo chini...
Nisome vizuri, toka mwanzo upande wangu unajulikanaTatizo michango yako ni ambiguity, ina sura zote. Si baridi wala moto.