Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Dgo labda simu imezima chaj too early to judge
 
Usije ukalala tuu stendi.
Toa mrejesho upo wapi na nini kinaendelea upate msaada hata wa gesti.
Kuna watu walimtumia pesa inaweza kumsaidia kulala gest mkuu. Tusubiri atakuja kutuambia nini. Mungu amlinde dogo mtafutaji kama ni kweli.

Naendelea hapo chini...
 
Very true!!! Hataki kugusanisha sura yake na mwana jf yeyote lkn Kwa shoga kaenda.
Leo kazichanga na kesho akija ataendeleza bakuli kama ile timu yetu pendwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huyu dogo anatafuta kazi hajaomba kutumiwa fedha, picha yake ipo hapo juu mimi nimekutana nae na kumsaidia kumpeleka kituoni na kumuonyesha magari ya kufika baracuda, atafanikiwa tuu na nyie mtabaki na aibu, Mungu ni wa ajabu sana jana hajalala nje, leo kapata hela ya kula na hatalala nje mnaobaki kuwa na mawazo hafifu ndio mnahisi ni tapeli, hajaomba mtu hela, anatafuta kazi hizo hela watu wamemtumia kwa kumuonea huruma...usihukumu mzee chukua muda wako mtafute ni mgeni dsm hapajui ila ni fighter na ana confidence za ajabu atatoboa tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama atakuwa kapata hifadhi ndiyo atupe mrejesho. Usikute ameshaibiwa.
Sina salio bahati mbaya ningempigia nkaleta mrejesho. Au hapatikani?!?? All in all imani yangu inanituma kuamini jamaa ashashinda
 
Conference ndo kila kitu.
 
Huyu jamaa nishaona kesho ataleta mrejesho kapikiwa chai tena na mwanamme wa Barakuda. Ila safari hii kashikwa yeye makalio🤣🤣


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Jamani huyo ni muongo kasema yupo kwenye gari nimsubiri barakuda tabata nimeganda ofisini mpaka saa 3 usiku hajatokea toa namba hatoi...sasa mnaomsaidia endeleeni mimi nimejitoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni hivi, huyu dogo ni mgeni na tayari ashapaniki, so alivofika barakuda akakupm ukawa haujibu akachanganyiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…