Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Cute unakosa salio umpigie umuulize alipo?!?Usije ukalala tuu stendi.
Toa mrejesho upo wapi na nini kinaendelea upate msaada hata wa gesti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cute unakosa salio umpigie umuulize alipo?!?Usije ukalala tuu stendi.
Toa mrejesho upo wapi na nini kinaendelea upate msaada hata wa gesti.
Namba yake ipo wapi mkuu nimpigie?Cute unakosa salio umpigie umuulize alipo?!?
Nimependa mawazo yakoUsije ukalala tuu stendi.
Toa mrejesho upo wapi na nini kinaendelea upate msaada hata wa gesti.
Kuna watu walimtumia pesa inaweza kumsaidia kulala gest mkuu. Tusubiri atakuja kutuambia nini. Mungu amlinde dogo mtafutaji kama ni kweli.Usije ukalala tuu stendi.
Toa mrejesho upo wapi na nini kinaendelea upate msaada hata wa gesti.
0744472252Namba yake ipo wapi mkuu nimpigie?
Nina DKK za Airtel.
0744472252
Sasa kama atakuwa kapata hifadhi ndiyo atupe mrejesho. Usikute ameshaibiwa.Kuna watu walimtumia pesa inaweza kumsaidia kulala gest mkuu. Tusubiri atakuja kutuambia nini. Mungu amlinde dogo mtafutaji kama ni kweli.
Naendelea hapo chini...
Huyu dogo anatafuta kazi hajaomba kutumiwa fedha, picha yake ipo hapo juu mimi nimekutana nae na kumsaidia kumpeleka kituoni na kumuonyesha magari ya kufika baracuda, atafanikiwa tuu na nyie mtabaki na aibu, Mungu ni wa ajabu sana jana hajalala nje, leo kapata hela ya kula na hatalala nje mnaobaki kuwa na mawazo hafifu ndio mnahisi ni tapeli, hajaomba mtu hela, anatafuta kazi hizo hela watu wamemtumia kwa kumuonea huruma...usihukumu mzee chukua muda wako mtafute ni mgeni dsm hapajui ila ni fighter na ana confidence za ajabu atatoboa tuuVery true!!! Hataki kugusanisha sura yake na mwana jf yeyote lkn Kwa shoga kaenda.
Leo kazichanga na kesho akija ataendeleza bakuli kama ile timu yetu pendwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sina salio bahati mbaya ningempigia nkaleta mrejesho. Au hapatikani?!?? All in all imani yangu inanituma kuamini jamaa ashashindaSasa kama atakuwa kapata hifadhi ndiyo atupe mrejesho. Usikute ameshaibiwa.
Dogo hajatupa mrejesho mpaka muda huu aiseeSasa kama atakuwa kapata hifadhi ndiyo atupe mrejesho. Usikute ameshaibiwa.
Conference ndo kila kitu.Huyu dogo anatafuta kazi hajaomba kutumiwa fedha, picha yake ipo hapo juu mimi nimekutana nae na kumsaidia kumpeleka kituoni na kumuonyesha magari ya kufika baracuda, atafanikiwa tuu na nyie mtabaki na aibu, Mungu ni wa ajabu sana jana hajalala nje, leo kapata hela ya kula na hatalala nje mnaobaki kuwa na mawazo hafifu ndio mnahisi ni tapeli, hajaomba mtu hela, anatafuta kazi hizo hela watu wamemtumia kwa kumuonea huruma...usihukumu mzee chukua muda wako mtafute ni mgeni dsm hapajui ila ni fighter na ana confidence za ajabu atatoboa tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
0744472252 namba yake hii hapa mpigie mkuuJamani huyo ni muongo kasema yupo kwenye gari nimsubiri barakuda tabata nimeganda ofisini mpaka saa 3 usiku hajatokea toa namba hatoi...sasa mnaomsaidia endeleeni mimi nimejitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni hivi, huyu dogo ni mgeni na tayari ashapaniki, so alivofika barakuda akakupm ukawa haujibu akachanganyiwaJamani huyo ni muongo kasema yupo kwenye gari nimsubiri barakuda tabata nimeganda ofisini mpaka saa 3 usiku hajatokea toa namba hatoi...sasa mnaomsaidia endeleeni mimi nimejitoa
Sent using Jamii Forums mobile app