Ameandika huko juu alifika eneo husika na mhusika hakupatikana /hakujibu pm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameandika huko juu alifika eneo husika na mhusika hakupatikana /hakujibu pm.
La mwisho mkuuWewe upo kundi gani mkuu?
Mungu amsimamie dogo kama kapata hifadhi. Huyo msamaria mwema ni miongoni mwa member wa JF?? Au wamejuana juu kwa juu kama lile punga la jangwani?? Maana kule alipikiwa wali na kupelekewa maji ya kuoga sasa sijui mbezi itakuwaje?? Safari ya dogo ina mengi ya kujifunza mungu amsaidieNimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.
Sijamuuliza, ila lazima atakuwa ni wa jf.Mungu amsimamie dogo kama kapata hifadhi. Huyo msamaria mwema ni miongoni mwa member wa JF?? Au wamejuana juu kwa juu kama lile punga la jangwani?? Maana kule alipikiwa wali na kupelekewa maji ya kuoga sasa sijui mbezi itakuwaje?? Safari ya dogo ina mengi ya kujifunza mungu amsaidie
Naendelea hapo chini...
Vizuri mkuu. Endelea kutupa updatesNimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.
Tayari mkuu0744472252 namba yake hii hapa mpigie mkuu
Mara ya mwisho alikua baracuda na aliaga kwamba anampigia sim mwanajf aliepo gongo la mboto, kuanzia hapo hakutoa tena mrejesho mpaka amepigiwa sim anasema yupo mbezi, hebu muulize kiundani mbezi na amepata msaada kutoka kwa mdau humu ndani? Mi sijaelewa hii script kiukweliNimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.
Gongo la mboto hukwenda? Kwa nini usilale gueest muda umeenda, tafuta guest ulale asubuhi utaangalia ustaarabu mwingineJamani, Kuna Member amenipigia simu niende kulala kwake "Magari Saba" Sasa nimepanda gari mpaka hapa mbezi stendi, ila jamaa simu haipatikani. (dakika kadhaa nyuma ameniambia simu yake inaisha chaji) Sasa mpaka hapa sijaelewa nifanye nini. Isijekuwa niende huko Magari saba na nisimkute, kama Yule jamaa wa pale Barakuda.
Niko Njia Panda. Simu yake ingekuwa hewani, angenipokea, naamini hivo. Niko Mbezi Stendi Muda huu.
Dogo kuna member alikupa number uende ukonga mombasa kuna kituo pale cha kulelea vijana wasio na makazi ni youth center ile inaitwa Lunduno na ulisema umemaliza kula unaipiga hiyo namba uliyopewa na member anaitwa Deadbody. Vipi uliwasiliana nae???Jamani, Kuna Member amenipigia simu niende kulala kwake "Magari Saba" Sasa nimepanda gari mpaka hapa mbezi stendi, ila jamaa simu haipatikani. (dakika kadhaa nyuma ameniambia simu yake inaisha chaji) Sasa mpaka hapa sijaelewa nifanye nini. Isijekuwa niende huko Magari saba na nisimkute, kama Yule jamaa wa pale Barakuda.
Niko Njia Panda. Simu yake ingekuwa hewani, angenipokea, naamini hivo. Niko Mbezi Stendi Muda huu.
Nipigie mm basiNamba yake ipo wapi mkuu nimpigie?
Nina DKK za Airtel.
Sawa ni beep.Nipigie mm basi
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Namimi nimemuuliza hilo swaliDogo kuna member alikupa number uende ukonga mombasa kuna kituo pale cha kulelea vijana wasio na makazi ni youth center ile inaitwa Lunduno na ulisema umemaliza kula unaipiga hiyo namba uliyopewa na member anaitwa Deadbody. Vipi uliwasiliana nae???
Naendelea hapo chini...
Mtende angalia Pm yako tafadhaliGongo la mboto hukwenda? Kwa nini usilale gueest muda umeenda, tafuta guest ulale asubuhi utaangalia ustaarabu mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa, na huyo jamaa umwambie atoe mrejesho humu maana wengi bado wanahitani kujiridhisha ili wakusaidieTayari Wakuu, Hapa Nimepanda Boda Boda, Naelekea Kwa Jamaa, Niombeeni.
Cute b vp ana lafudhi Ile ya kiha?Nimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.
We si ulipewa namba na deadbody uende lunduno? Ikikuwaje Hukuipiga? Dizaini kama utaumbuka soonJamani, Kuna Member amenipigia simu niende kulala kwake "Magari Saba" Sasa nimepanda gari mpaka hapa mbezi stendi, ila jamaa simu haipatikani. (dakika kadhaa nyuma ameniambia simu yake inaisha chaji) Sasa mpaka hapa sijaelewa nifanye nini. Isijekuwa niende huko Magari saba na nisimkute, kama Yule jamaa wa pale Barakuda.
Niko Njia Panda. Simu yake ingekuwa hewani, angenipokea, naamini hivo. Niko Mbezi Stendi Muda huu.