Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.
Mungu amsimamie dogo kama kapata hifadhi. Huyo msamaria mwema ni miongoni mwa member wa JF?? Au wamejuana juu kwa juu kama lile punga la jangwani?? Maana kule alipikiwa wali na kupelekewa maji ya kuoga sasa sijui mbezi itakuwaje?? Safari ya dogo ina mengi ya kujifunza mungu amsaidie

Naendelea hapo chini...
 
Sijamuuliza, ila lazima atakuwa ni wa jf.
Amen , Mungu atamsaidia.
Na mtafutaji hachoki na akichoka jua ameshapata.
 
Jamani, Kuna Member amenipigia simu niende kulala kwake "Magari Saba" Sasa nimepanda gari mpaka hapa mbezi stendi, ila jamaa simu haipatikani. (dakika kadhaa nyuma ameniambia simu yake inaisha chaji) Sasa mpaka hapa sijaelewa nifanye nini. Isijekuwa niende huko Magari saba na nisimkute, kama Yule jamaa wa pale Barakuda.
Niko Njia Panda. Simu yake ingekuwa hewani, angenipokea, naamini hivo. Niko Mbezi Stendi Muda huu.
 
GPS position inasoma mbezi stand

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimtrace zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.
Vizuri mkuu. Endelea kutupa updates

Naendelea hapo chini...
 
Nimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.
Mara ya mwisho alikua baracuda na aliaga kwamba anampigia sim mwanajf aliepo gongo la mboto, kuanzia hapo hakutoa tena mrejesho mpaka amepigiwa sim anasema yupo mbezi, hebu muulize kiundani mbezi na amepata msaada kutoka kwa mdau humu ndani? Mi sijaelewa hii script kiukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, Kuna Member amenipigia simu niende kulala kwake "Magari Saba" Sasa nimepanda gari mpaka hapa mbezi stendi, ila jamaa simu haipatikani. (dakika kadhaa nyuma ameniambia simu yake inaisha chaji) Sasa mpaka hapa sijaelewa nifanye nini. Isijekuwa niende huko Magari saba na nisimkute, kama Yule jamaa wa pale Barakuda.
Niko Njia Panda. Simu yake ingekuwa hewani, angenipokea, naamini hivo. Niko Mbezi Stendi Muda huu.
Gongo la mboto hukwenda? Kwa nini usilale gueest muda umeenda, tafuta guest ulale asubuhi utaangalia ustaarabu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani, Kuna Member amenipigia simu niende kulala kwake "Magari Saba" Sasa nimepanda gari mpaka hapa mbezi stendi, ila jamaa simu haipatikani. (dakika kadhaa nyuma ameniambia simu yake inaisha chaji) Sasa mpaka hapa sijaelewa nifanye nini. Isijekuwa niende huko Magari saba na nisimkute, kama Yule jamaa wa pale Barakuda.
Niko Njia Panda. Simu yake ingekuwa hewani, angenipokea, naamini hivo. Niko Mbezi Stendi Muda huu.
Dogo kuna member alikupa number uende ukonga mombasa kuna kituo pale cha kulelea vijana wasio na makazi ni youth center ile inaitwa Lunduno na ulisema umemaliza kula unaipiga hiyo namba uliyopewa na member anaitwa Deadbody. Vipi uliwasiliana nae???

Namimi nimemuuliza hilo swali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeongea naye.
Yupo Mbezi Magari saba (sina uhakika kama nimepatia.)
Ila amepata msamaria mwema wa kwenda kulala kwake hivyo huyo msamaria mwema amesema anatuma pikipiki imfuate hapo alipo.
So ndiyo anasubiri.
Ila kuhusu kazi ndiyo bado hajapata.
Cute b vp ana lafudhi Ile ya kiha?
 
Jamani, Kuna Member amenipigia simu niende kulala kwake "Magari Saba" Sasa nimepanda gari mpaka hapa mbezi stendi, ila jamaa simu haipatikani. (dakika kadhaa nyuma ameniambia simu yake inaisha chaji) Sasa mpaka hapa sijaelewa nifanye nini. Isijekuwa niende huko Magari saba na nisimkute, kama Yule jamaa wa pale Barakuda.
Niko Njia Panda. Simu yake ingekuwa hewani, angenipokea, naamini hivo. Niko Mbezi Stendi Muda huu.
We si ulipewa namba na deadbody uende lunduno? Ikikuwaje Hukuipiga? Dizaini kama utaumbuka soon
 
Back
Top Bottom