Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari Wakuu, Hapa Nimepanda Boda Boda, Naelekea Kwa Jamaa, Niombeeni.
Wewe ulisema jamaa simu yake haipatikani how come umepata bodaboda na unaenda kwake??Tayari Wakuu, Hapa Nimepanda Boda Boda, Naelekea Kwa Jamaa, Niombeeni.
Hahahahaha sina uhakika ila ana lafudhi ya mkoani.Cute b vp ana lafudhi Ile ya kiha?
Maswali magumu haya... dahWewe ulisema jamaa simu yake haipatikani how come umepata bodaboda na unaenda kwake??
Naendelea hapo chini...
Swali nonoWewe ulisema jamaa simu yake haipatikani how come umepata bodaboda na unaenda kwake??
Naendelea hapo chini...
Uombewe kwani wewe Magufuli?? 🤣🤣🤣Tayari Wakuu, Hapa Nimepanda Boda Boda, Naelekea Kwa Jamaa, Niombeeni.
Hahahaaa jaman usiniumbue[emoji85] halaf mi sinywi pombe dear ni hashuo tu la simu yangu ndo linalonisumbua[emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usingizi haukuji mpaka uione episode inayofuata
Hivi viatu vya samaki. Na mdogo wake baba swalehe wapo wapi !?Wakuu, mapaka njaa imenishika, nakula kwanza hapa! Karibuni wali maharage.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uombewe kwani wewe Magufuli?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Dogo nimefrahi kuongea na wewe Niko hapa mbezi kwa yusuph ni jirani na hapo magari saba kesho tutaonana! Hakika mungu ni mwema kamwe hamtupi mja wakeTayari Wakuu, Hapa Nimepanda Boda Boda, Naelekea Kwa Jamaa, Niombeeni.
Mkuu unatumia app gani kusoma hizi gps? Au unazisomaje?Hapo kachomoka dakika 8 zilizopita,,,,,GPS inakua week mana anamove,.........Please wait.....View attachment 986285
Sent using Jamii Forums mobile app