Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Jamani wana jf huyu dogo ni tapeli...narudia tena huyu ni tapeli..kama anajifanya sio tapeli mpeni msaada wa malazi tu kwanza msimpe pesa muone kama yupo tayari
 
Tayari Wakuu, Hapa Nimepanda Boda Boda, Naelekea Kwa Jamaa, Niombeeni.

Tunakuombea, kesho itakuwa siku mpya na yenye mwanga kwako. Tuombe kuamka salama, nakuhakikishia utapata mahali salama na kazi ya kujishkiza huku kwa kipindi kadhaa.

Amen.
 
Ukimya ulitawala,Dogo hakupatikana hakika hatukujua yuko wap.

Ghafla mdau mmoja akaomba namba ili aweze kuitrace namba...

Majibu ya Mdau yakasema amefanikiwa kuitrace namba Mbezi Stand. ...Muda si Muda cute b amefanikiwa kumpata tena hewani...

Tunapata Jibu tena kutoka kwa Bidada kuwa Dogo yupo Mbezi..Na Muda haupiti nae Dogo anaibuka kutokea kusikojulikana anaipa nguvu kauli ya Bidada kuwa yupo Mbezi


Hivi punde ameshafanikiwa kupanda Bodaboda anazidi kutokomea huko Mbezi. .

BADo TUNAFUATILIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Kaitwa barakuda, aliyemwita hakujitokeza then akamsubiri akala akamaliza bila mwenyewe kujiyokeza mkuu deadbody kampatia namba apige baadae akasema anampigia akimaliza kula before hajatupa mrejesho anatuambia kuna mtu wa Amemwita mbezi hafu anasema anamtafuta hajibu. Mara mkuu tripp aliyemwita kajitokeza anasema kua hajamwona kamsubiria hajatokea.!!!! Muda huo huo anatwambia yuko kwa boda aende huko mbezi ukizingatia ashasema jamaa anacomplain simu haina moto..!!

Sio kwamba ni kukwepa kukutana na JF member??
Trying to connect Dots... world is full of fake people. .. mtu anakuita mkutane hafu hatokei.. Au anakundanganya alipo

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…