Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
marahaba hujambo mdogo wanguDada Mane,
Habari yako?
Asante sana mkuu!Na Mimi nimeajiriwa tu sina kampuni .Kama upo Tabora Ni Pm uje wiki ijayo hapa Office Fulani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nalala mie nimechoka nimesubiri aseme kama kapelekewa maji ya kuoga na kupikiwa mchele hajasema.hahhaa mm@aise nimeacna naye jio sijajua kinachoendelea..nitasoma asbh..we kesha kwaajili yake..
Hahahaaa Kwakweli.[emoji23][emoji23][emoji23]..sema jamaa naye waruwaru[emoji23]
Tatizo kumuamini mtu ni changamoto kwa ulimwengu huu,mnaweza mkajifungia ndani usiku akawamaliza au yeye akawa na matatizo yake ya kiafya akafia ndani na kuwa janga.Inapotokea kuna ugeni wa namna hii ni bora kutoa taarifa kwenye serikali ya mtaa.sio kweli mkuu ..wtu wana moyo wa kusaidia sana tu
Sijambo da Mane,marahaba hujambo mdogo wangu
Tatizo kumuamini mtu ni changamoto kwa ulimwengu huu,mnaweza mkajifungia ndani usiku akawamaliza au yeye akawa na matatizo yake ya kiafya akafia ndani na kuwa janga.Inapotokea kuna ugeni wa namna hii ni bora kutoa taarifa kwenye serikali ya mtaa.
Sijambo da Mane,
Hata mm pia natafuta.kazi kimya kimya!
Nishaitwa pm
Baadae.kidogo
😂😂😂mchele atakuwa amepikiwa haha kaka usk mwemaNalala mie nimechoka nimesubiri aseme kama kapelekewa maji ya kuoga na kupikiwa mchele hajasema.
Naendelea hapo chini...
Duh usiku mwema....umetutangulia kulala...wenye mji...Nimefika Kwa Jamaa, Na Hapa Nimemaliza Kuoga. Naenda Kulala. Kesho Wakuu.
Nawe pia mamaa[emoji23][emoji23][emoji23]mchele atakuwa amepikiwa haha kaka usk mwema
Ni kweli mkuu,ila tahadhari ni muhimu zaidini kweli mkuu ila.mm huwa sifikiriag huko kbs eti yaan ningekuwa dar huyu leo ningempokea fresh station..
Da mane njoo bas pm mdogo wako nakuhitajihaya mkuu ukipata kazi nishtue na mm ndg yako mkuu..
nimechoka mdg wangu...nipo safarin hapa niechungulia tu kujua@aise kafikia wapi..tmr hyoDa mane njoo bas pm mdogo wako nakuhitaji
Buenos noches amor
amor too😂Buenos noches amor
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Hahaaaaa hafu wwamor too[emoji23]
isije ikawa viatu vya samaki mwenyewe huyu 😮😮😮
ni kispanish au germanHahaaaaa hafu ww
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk