Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
hahaha haya kijana mtiifu..usk mwemaππππππ
Zikufikie huko huko sis!
Naona siasa chafu zinakuja kwetu kwa kasi sana!
Ulale salama my lovely sis
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha haya kijana mtiifu..usk mwemaππππππ
Zikufikie huko huko sis!
Naona siasa chafu zinakuja kwetu kwa kasi sana!
Ulale salama my lovely sis
Na baba swalehe je ?![emoji23][emoji23][emoji23]viatu vya samak huyu dogo nishamshindwa yaan akili zake anazijua mwenyew[emoji23][emoji23]ukute ndo yy
Ohoooo I wish ingewezekana niisikie sauti yako tamu usiku huuAndika namba yako hapa nikupigie
hahaha wale wale kasoro tarehe
Najifunza tafadhali[emoji23][emoji23][emoji23] huwez nipenda bwana ww ni mdogo wangu..achana na huyo msipaniola wa kigoma
basi baba swalehe anakusalimia sana mkuuhahaha wale wale kasoro tarehe
mkuu bado tu,siriz imeshaisha steringi kafia Mbezi.by the way USIKU mwemaNawe pia mamaa
Naendelea hapo chini...
Najifunza tafadhali
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Kumbuka muha r na l kwake changamotoo...tafadhali...tafadhari[emoji23][emoji23]
Hahahaaa Kwakweli.
Hatokaa asahau safari yake ya maisha[emoji23][emoji23]
UsijaliOhoooo I wish ingewezekana niisikie sauti yako tamu usiku huu
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Nimemiss kuchati nawe[emoji27] [emoji27]Usijali
ππππππππJamaa huyo (Nadhani ni shoga)
Akaniuliza, unaweza kufuga kuku? Nikamwambia ndiyo, (kwa furaha kubwa) Akasema, kuna mama wa kichaga wiki mbili nyuma alikuwa anahitaji kijana wa kuhudumia kuku, kwahiyo kama uko tayari jioni uje nikupeleke kwake!
Hapo nikafurahi sana, tena sana, maana napenda sana kuhudumia kuku!
Basi tukaenda mpaka kwake, aise jamani nyie acheni, kumbe yule jamaa ni shoga kweli, nimefika kwake, mambo ya kunisaidia kuipata ile kazi ya kuhudumia kuku yakaisha, mala akaanza kunisifia kuwa nina maumbile mazuri, mala sijui nini, mambo mengi kweli, (Rejea mwanzo alivyokuwa anamsifia yule teja pale jangwani) Sasa jamaa mala anasema, eti, unavaa suruali saizi gani? Kuna suruali nataka nikupe, hebu simama hapo nikuone kiuno chako!
Sasa mpaka hapo, mimi nikawa nimeshagundua wazi huyu ni Shoga. Ila kwakuwa jamaa ni laini sana, sikuwa na shaka, maana mimi ni kijana mwenye nguvu, na yeye ni laini tu!
kwahiyo akiniletea ujinga, lazima nimzibue! Simu haiwezi kuandika maneno mengi ,naendelea hapo chini.
πππ kuna ndugu yako humu naye r n l haelewek kbsππKumbuka muha r na l kwake changamotoo...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
naye alikujaga na kiki ya kutojua kuandika naona kama mwandishi wa script ni mmojaaπ π mkuu tutajua kesho pole kwa uchovu wa safariπππviatu vya samak huyu dogo nishamshindwa yaan akili zake anazijua mwenyewππukute ndo yy
Kwani ww wa wapi??[emoji23][emoji23][emoji23] kuna ndugu yako humu naye r n l haelewek kbs[emoji23][emoji23]
πππhii nilikua sijaiona πππyaan huyu ni comedian kbsππππππππ
Nikutumia namba yangu PM unitrace na mimi please
ππila sidhan km ni viatu ..lol..asante mamynaye alikujaga na kiki ya kutojua kuandika naona kama mwandishi wa script ni mmojaaπ π mkuu tutajua kesho pole kwa uchovu wa safari