Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Pole sana kwa safari my dear dada
Nakutakia basi usiku mwororo, usiku tulivu, usiku usio na ndoto za ajabu wala usingizi wa mang'am ng'am!!
Mdogo wako anakupenda toka moyoni
It's fake Id

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom