Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Halafu pia kuna baadhi ya Id katika huu uzi ni za mwezi december na tarehe hazijapishana sana na comment zao zinaendana sana. Wait tuone tusijudge kwanza kabla hatujaujuwa mwisho wa huu uzi

Naendelea hapo chini...

Zitaje mkuu tufatilie nucta kwa nicta
 
Next episode kesho[emoji23][emoji23].
Je atapata kazi?
Je aliyempokea atamsitiri kwa muda gani?
Usikose kesho[emoji23][emoji23][emoji23]
We chizi kweli, ungekua karibu ningekupa adhabu ya kuamkia clinic kesho asubuhi
 
Aisee msela kaja hapa JF akijua kabisa ndiyo msaada wake lakini naona asilimia kubwa ya wanaJF wanambeza, aisee shida isikie tu mjomba! Sema mimi kaniacha mkoani ila wacha niangalie mpaka kesho nitamtupia hata kiduchu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom