Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Wanaume sijui tumeumbwa vipi,!?!?! Tuna upendo saaana, ghafla nshaanza kukupenda.
We chizi kweli, ungekua karibu ningekupa adhabu ya kuamkia clinic kesho asubuhi
Uko wapi nije unipokee Mkuu?!? Kesho asubuhi naanza safari kutoka Bukobani kweli mkuu ila.mm huwa sifikiriag huko kbs eti yaan ningekuwa dar huyu leo ningempokea fresh station..
Huyu anataka huruma apate mchongo kupitia kiki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu.mjamaa kaweza kufungua mwaka kwa KIKI matata humu jf
kuna maboya watajaaa na KIKI yake humu
Sent using Jamii Forums mobile app
074376423_ ya mwisho utabuniAndika namba yako hapa nikupigie
We njoo na chapatiHuyu jamaa hatuuzii chai kweli?
Nimebuni nimekutana na bonge la zali.074376423_ ya mwisho utabuni
Mbavu bado zipo mkuu[emoji23][emoji23]nimecheka kwa ngv[emoji23]
Ndo nan , huyo ba swalehecc aise[emoji85][emoji85][emoji85]msalimie baba swalehe mkuu
[emoji28]baba swalehe you call me whaaaat,,[emoji35][emoji35][emoji35] ngoja nilalee
Niweke nini?!?
Niko Bukoba , Izimbya sehemu inaitwa KagomaUpo wapi mkuu kwani nije?
Wee bibi kuwa na roho ya binadamu.Nasubiria ulazwe polisi maana mmezidi kutulea story za uomgk
Msabila hili jina umenipeleka mbali sanaaa
Zali la mentaliNimebuni nimekutana na bonge la zali.
Hakuna app ya simu inaitwa HD technology kwenye search engine zangu zoooote, we uliipataje?!!