Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Hivi mkuu ushawahi kusafiri siku 3 halafu unayajua machovu yake?, akili unaijua inavyo kuruka? Yasikie tu mkuu siku ukienda ugenini utakuja kumkumbuka huyu jamaa. Sisi wengine tumeshakaa airport mpaka TSA wanakuuliza vipi mpango wako, tushafika nyumba za mwenyeji wangu halafu mpambe tu anataka kunifukuza. Mwenyeji akampa mkwala ndio akatulia wewe acha tu yasikufike kaka.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hii nayo mupya! Badala ya mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo muongo nimemwambia anipe namba hajanipa wala kufika kweli anacheza na akili zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ndo muongo unacheza na akili zetu! Huyu dogo alivofika hapo Barakuda ilikua mida ya saa 2 akaleta mrejesho hapa tukamwambia akusubirie hapohapo Barakuda avute subra. ila ww ulikua kimya ulishindwa nini hata kujibu comment mda ambao yy kafika huko? Ulitaka akufate kazini, Kwani yy anapajua hapo kazini kwako angalau ungempa namba yako ya simu ndo uanze kumhukumu kwamba hajakutafuta. Muogope Mungu ww kaka, unasema kakataa kukupa namba yake wakati namba yake ipo hapahapa kwenye Thread, na kila anaemuomba namba hasiti kumpa, ulivoona kaenda mbezi ndo umejitokeza. acha kumchafua mwenzio sio vizuri Muogope Mungu jamani. Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanitumia meseji saa kumi na mbili ushahidi upo na nimekaa hakuna simu wala nini kumbuka sio kila maa nitakuwa jf tu nilimpa mwongozo atume namba nimpgie akifika sasa yeye saa kumi na mbili katuma meseji isiyo mashiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi hamkuelewana. Namba yake hii 0744-472252 , kama kweli kuna nafasi ya kazi km ulivomuahidi tunaomba ukutane nae na umsaidie kazi, kasema ana barua ya serikali za mtaa ya huko atokako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi hamkuelewana. Namba yake hii 0744-472252 , kama kweli kuna nafasi ya kazi km ulivomuahidi tunaomba ukutane nae na umsaidie kazi, kasema ana barua ya serikali za mtaa ya huko atokako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sasa nimemtumia namba pm na kwenye simu yake ambayo kwa sasa haipatikani halete usanii mwingine kesho aone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa sasa nimemtumia namba pm na kwenye simu yake ambayo kwa sasa haipatikani halete usanii mwingine kesho aone

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Akileta usanii hio kesho hata mi nitamtilia mashaka ila mpk sshv mm nina imani kwamba sio tapeli, nasubiri tu kujua hio kesho km atapata hio kazi au laa. Asipopata nami nitamchangia chochote kidogo apate kula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini nafsi yangu bado inakataa...ngoja nijipe muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siyo ki hivyo kaka mkubwa.
yaani haimake sense .kwa jijI kama dar ukutane na mtu from no where pasipo kujuana .na akakufanyia yote hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu cha ajabu kipi ambacho ww hukielewi?Ina maana Dar hapo umeingia juzi?

Hv kiuhalisia umefika mjini hapo huna ndugu wala hujuani na yeyote na mbaya zaidi mfukoni huna kitu atachagua wa kuongea naye????

Hujui km muda wote unakuwa unatamani walau atokee mtu japo mwenye interest ya kuzungumza na ww japo upate pa kuanzia kuomba msaada..

Yawezekana sio kosa lako bali hujawahi kukwama ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila siyo lasaba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…