Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Baada ya kushituka usingizini nimeendelea tena kufuatilia kwa ukaribu hii mada..
Nimegundua kuna ID kadhaa mpya,zinatumia Nguvu kubwa mno kumtetea mleta mada..yaan hawataki watu wa reason pale wanapo hisi harufu ya utapeli..
Naendelea kufuatilia kwa ukaribu mwisho wa hii thread..
So kweli, Mimi ni member toka 2011
 
Lengo la thread hii kudharirisha Waha.
Pia ili wimbi la Wahi kuhama Kigoma na kukimbilia Dar na sehemu zingine limekuwa kubwa mno
We jamaa shika adabu yako!Sisi hatujaanza kuhama kigoma leo.Tangu enzi za utumwa tuliamishw kutoka kongo nk kuletw kigoma na sehemu mbalimbali za dunia.watu w kigoma wamehamiaDar na miji mbali mbali wakati makabila mengine yakiwa maporini sana ndio maana ni watu w kigoma walioweza kumiliki maeneo sehemu kama kariakoo, miji yote ta mwanza, Tabora, Morogoro nk.Acha kutukana watu waliokuzidibakili tangu zamani.
 
Aliye mpakia kwenda barakuda na anamtetea kweli kweli I'd yake mpya ya 2019 katuma na hiyo picha yake dogo yupo ndani ya Gari swali yangu ww mpiga picha je ile Gari ni dala dala au private car?maana kwenye picha kuna mambo unaweza kuya soma.View attachment 986346
Hii picha kapigwa akiwa kwenye gari ya mega pixel akipelekwa kituo cha daladala. Tuliza roho mbaya yako watu wamsadie kijana. Hata matapeli wanastahili msaada, kuna watu wamejitokeza na kuapiza kuwa akileta usaniii labda ahame nchi, watamsakua mpaka arudishe pesa za watu
 
Back
Top Bottom