Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Nakuja Dar kusaka maisha! Treni ndio imeanza safari kutoka Kigoma kuja Dar, Mwenye kazi naomba tuwasiliane

Kwa sasa hata ukifutwa, sidhani kama ni tatizo sana. Kuna jamaa kanipokea, na mpaka muda huu niko nyumbani kwake "magari saba"
Mtafute yule Jamaa wa Barakuda leo, akusaidie kazi. jana nilimpa namba yako kasema kakutumia namba yake PM na kwenye msg ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi ukifutwa ukitaka Kuangalia HUUKUTI kama ulicomment kwenyw ule uzi au uliletewa Notification yoyote kuhusu ule uzi jaribu kuufunguaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hata nami najua na nimestaajabu kuona uzi ule umefutwa.
Lakini nilicho jiuliza ni kwamba... kwanini jamaa aliwahi kwa haraka kuwajibia mods kwamba wameufuta..!!
Basi sawa kama wamekufa, najiuliza/nauliza ni sababu zipi hasa zenye zimefanya wakaufuta...??
Je kuna mtu amekwazwa na ule uzi hata ikapelekea mods kufuata...??
Je kuna jambo hatarishi ama mtu hataraishi hata kupelekea uzi ule kufutwa...??
Anyway....
Nimejikuta najiuliza maswali mengi yenye yamekosa majibu wallah
 
Nimeamka mornieh.stand ya kwanza kuchungulia ule Uzi nakuta ,umefutwa
Aseeh ule Uzi kiboko,jana nikiwa ndani ya mwendokasi mida ya saa 3 nakuta watu wanaujadili
Bwana "Aise" umejua kuteka na kuleta KIKI humu.

ili nizidi kukuamini,bila shaka huyo aliyrkupa hifadhi naye yupo humu Jf.
Naomba AJTOKEZE na kukiri WAZi kuwa amekupa hifadhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hata nami najua na nimestaajabu kuona uzi ule umefutwa.
Lakini nilicho jiuliza ni kwamba... kwanini jamaa aliwahi kwa haraka kuwajibia mods kwamba wameufuta..!!
Basi sawa kama wamekufa, najiuliza/nauliza ni sababu zipi hasa zenye zimefanya wakaufuta...??
Je kuna mtu amekwazwa na ule uzi hata ikapelekea mods kufuata...??
Je kuna jambo hatarishi ama mtu hataraishi hata kupelekea uzi ule kufutwa...??
Anyway....
Nimejikuta najiuliza maswali mengi yenye yamekosa majibu wallah
Nadhani zile lawama za kudai jamaa anaweza kuwa tapeli ndo zimapelekea hiyo ishuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule mtu wa Barakuda ni kweli jana alikutumia namba yake ya simu PM na kwenye msg ya kawaida? Hem tujulishe basi unajua wengine tunachungulia hapa kutizama ulipofikia naona unapuuzia
Nashukuru hifadhi nimepata, na muda huu niko "Magari Saba", member aliye karibu, anaweza kuja tukutane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom