Waooohh!! Mungu Ambariki mwenyeji jamani.Mkuu, wewe umejitambulisha, ila walio wengi, japo sio wote, Hawajitambulishi. Naimani mama umenhelewa, na muda huu huyu mwenyeji wangu ameniambia twende kazini kwake. Asanteni
Ana roho nzuri sana! Ukifika kazini huko sasa jitume[emoji23][emoji23]onyesha nia ya kazi hata kama haujaajiriwa mkuu.[emoji123][emoji123][emoji123]
Asubuhi njema